Kwanini Ali Kiba hatoi ngoma?

Perfectionist nimekusikia.....sijui kama hata una exist siyo kila kitabu kinachoandikwa kinakuhusu usidandie gar kwa mbele..
Mofaya imeondoka kabla haujainywa
R
 
tatizo nyie mnaotarajia makubwa kutoka kwake ndo mnaoteseka,mm mshabiki wa kiba ila kwa sasa nishamuelewa,alipoacha muziki alifulia,amerudi hakutarajia kama atafika hapo,so inshort kasharidhika na alipofika,sasa haoni haja ya kujiongeza zaidi,hana mpango wa kwenda kimataifa wala nn,hafanyi kolabo za nje etc,yupo tu,sasa ma fans wao wanataka aende mbali zaidi wakati yeye kasharidhika,hapo ndo tatizo lilipo,sio ambitious kama domo,au harmonise!mm kama team kiba member nashukuru tu harmonise kaja kum challenge domo,maana kiba hilo suala alishashindwa muda sana
 
Sio ya Aslay pekeyake kiba kaandika mashairi yake na Aslay kaandika yake ni X ndio maana imewekwa katikati kwa maana ni yawatu wote wawili nasio ya mtu mmoja tu.
Ushabiki kindakindaki dhidi ya kiba unakufanya upingane na namna unavyoelewa
 
Yani alikiba hatoi nyimbo hajihangaishi na chochote wala lolote ila anavyowapa tabu side B sasa wakati hii ndio wangekua wanafurahia kua jamaa amekwama
Side b siyo size tena ndiyo maana watoto Wa jasiri muongoza njia wanamtema mchana kweupe wameona wanajaza gunia maji.
 
Labda sister 7 aulizwe pengine anaweza kuwa na majibu ya uhakika
Kiba anaweza ila sijui angle gani inamfanya asipae juu zaidi
Minaona yupo palepale kama sio kishuka kabisa,
 
Duu mtu hata hakujui chuki yote ya nini hii hadi utake akafie mbele
 
Mbona kama unateseka.. Kama anajimaliza si ushangilie sasa
 
Kiba anatesa sana watu duh.. Si muachane naye, wasanii wamejaa lukuki wasikilizeni hao!
 
Bado unatumia simu zinakuletea error za kipuuzi halafu unamuita kiba fala WATAALAM NISAIDIENI
 
sema ni vile ulitaka umbea (kujua yasiyo kuhusu toka kwa king kiba) na yeye akawa anayapotezea ndio kuchukia

muhimu. acha kufatilia yasiyo kuhusu
 
ulianza vizuri nikajua una akili kumbe unaongozwa na mihemko....huwez kumfananisha rayvanny na kondeboy kwa wakati huu tulionao km una akili timamu...vngnvy utakua sawa na muimba taarabu 2!
Ahaaaaaaaaaaah wakati gani,come on ko ndo unaweza kubalisha ukweli kama rayvanny>harmonize. Wake up child be carefully with your heart go and sleep ebooooooh
 


Biashara ya Muziki imekuwa ngumu sana kwa sasa and as always, biashara hii ina mbinu za kipekee kabisa. Katika wakati huu ambapo kuna mrundikano wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya, redio zimeghubikwa na rushwa na figisu, vituo vya televisheni viko bize na program nyingi tofauti tofauti, kuacha kutoa Nyimbo kwa muda mrefu sio ujanja ni kujipoteza. Tumeona kwa Lord Eyes, Rado, JI wa Nzega, Sajna wa Mwanza, Afande Sele, MB Dog, TID n.k.

Walioko karibu na Kiba wamshauri aache kujihisi kwamba yeye ni mdogo wake na MIC na Kinanda eti mziki hautamtupa. Anajidanganya
 
Domo anampiga sana bao.

Yaani diamond ukimpa ubalozi hujutii aisee. Yaani kapata deal la pepsi kila umuonapo kashika pepsi nahisi hata wao pepsi wanaenjoy sana.

Yaani unajikuta tu hata ww shabiki unahamasika kununua pepsi.[emoji3]
ngoja nikagonge pepsi sasahivi bariiiiiidiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…