tatizo nyie mnaotarajia makubwa kutoka kwake ndo mnaoteseka,mm mshabiki wa kiba ila kwa sasa nishamuelewa,alipoacha muziki alifulia,amerudi hakutarajia kama atafika hapo,so inshort kasharidhika na alipofika,sasa haoni haja ya kujiongeza zaidi,hana mpango wa kwenda kimataifa wala nn,hafanyi kolabo za nje etc,yupo tu,sasa ma fans wao wanataka aende mbali zaidi wakati yeye kasharidhika,hapo ndo tatizo lilipo,sio ambitious kama domo,au harmonise!mm kama team kiba member nashukuru tu harmonise kaja kum challenge domo,maana kiba hilo suala alishashindwa muda sana