Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YNikafikiri labda Ali Kiba kapata msiba, kumbe ni porojo za mswahili bwana maburuki suriama kutoka pate.
Nikafikiri labda Ali Kiba kapata msiba, kumbe ni porojo za mswahili bwana maburuki suriama Ndiyo mkuu Mimi mswahili original wewe mgermany hebu nikosoe nilichoandika uongo hapo...
Tulisha kaa kikao mabaharia wa jf tukakubaliana hakuna na narudia tena hakuna kuanzisha thread za kiba100 maana ni kumpa kiki lile lizee miaka 45+ tulipeleke wapi au liimbe nini.Hapa namaanisha nikufungua thread za DIAMOND PLATINUMZ TU,the one and only king of Tanzania, east African, Africa and world,so be carefully with your heart ebooooooooooooooooooooooooh.Ukisikia mtu anajiharibia basi kiba ni moja wapo, samaki akivuliwa huwa anakunjwa mapema wakati bado mbichi.
Sijui ni kwamba kawa kimya kwasababu amempoteza master mind Ruge, au ni kwavile kakimbiwa na mke wake aliechukia mrundikano wa ndugu nyumba wanayoishi, au anataka kurudia kupiga mbizi kama 2010 na akaibuka upya 2015.
Ahaaaaaaaaaaah unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe pia,tangu lini mchezaji wa ndondo cup akawa superstar, OK by the way maybe ni superstar wakuzalisha wanawake na kila mtoto kuwa na mama yake OK,so be carefully with your heart go and sleep eboooooooooooh....!!!!!!Mi naona Alikiba kaamua kufuata nyendo za Michael Jackson, ambaye tangu 2009 hajatoa ngoma yoyote ile lakini bado ni superstar na anasumbua duniani.
Tutolee li avatar lako hapo la kukohoa ebooooooh hakuna mkubwa zaidi ya diamond the one and only kingKiba ni mkubwa kuliko kutoa nyimbo.
Au Sio!!Tutolee li avatar lako hapo la kukohoa ebooooooh hakuna mkubwa zaidi ya diamond the one and only king
ulianza vizuri nikajua una akili kumbe unaongozwa na mihemko....huwez kumfananisha rayvanny na kondeboy kwa wakati huu tulionao km una akili timamu...vngnvy utakua sawa na muimba taarabu 2!Ahaaaaaaaaaaah daaaaaaah yani unafananisha mbingu(diamond) na ardhi(kiba100),maana huyo ajuza wako(kiba100) hamkuti kwa lolote na kwa chochote the king himself diamond platinumz,ko nasema na narudia tena nasema usije ukaandika Uzi ambao unamuhusu kiba100,maana sheria za humu jf zinataka nyuzi za diamond king himself tu maana ndo msanii Tanzania, wengine ni wababishaji.note,nafasi ya kiba100 anayo Rayvanny mzee wa mituzo na sio huyo mmachinga wako,na pia huyo jasiri wako muongoza umbea(kawazalisha dada zetu na kuwakimbia) na pia kutunyonyea wasanii wetu atoke tunamtaka diamond tu sawa.