Kwanini Alteza?

Mkuu buku 10 unatembea kwa kilomita nane?!!!! Ilo jini Subiani litakuwa, au unaka katika foleni masaa kama 4 ivi?

Hio ni 3sge? Mi nna Is200 1gfe, buku 10 naweza kutembea 47-53km!
 
Kwa mimi ninapenda kuendesha aliteza inafilis asee

Mi naeza washa gari sina kazi wala mchongo ili mrad tu nipo rod

56km [emoji15] [emoji15]
 
Tena kama kutwa upo mjini ndo shughuli si ndogo mkuu, mana huendi popote kisha mafuta yanakwenda mengi ukiwa na ruti za town. tofauti na ukiwa na ruti ndefu
 
56km [emoji15] [emoji15]
Kila siku nakuwa na monitor unywaji wa mafuta wa gari yangu kutaka kujua, ikiwa mguu wangu naulainisha kidogo na kutembea kwenye 60-80kmhr basi unywaji ni mzuri, then mimi safari yangu huwa natoka town kwenda shamba, Unaweza kutizama katika google maps, weka destination from kiembe samaki to matemwe utaona how many kilometres, naweka mafuta buku 20, kwenda na kurudi nayatumia mafuta, na mjini napata kupiga round za hapa na pale, tena hapo mkuu exhaust pipe nimechana pale kwenye mitungi ya manifold na nimefunga custom muffler. Mpaka sasa haijanikera.nikisema nikamue nifike kwenye rev limit unywaji unazidi kidogo, lakini hautishi kiivo mana nakamua mwenyewe kwa kutaka.
 
Mkuu buku 10 unatembea kwa kilomita nane?!!!! Ilo jini Subiani litakuwa, au unaka katika foleni masaa kama 4 ivi?

Hio ni 3sge? Mi nna Is200 1gfe, buku 10 naweza kutembea 47-53km!
Kwenda kurudi na folen fulu ac
 
Kwenda kurudi na folen fulu ac
Mkuu, hata hivo si mchezo, labda iwe foleni kubwa kweli kweli, kama ni 3sge (4 cylinders) ndo kabisa. Mimi uku hamna kukaa foleni foleni, ukitia gia unatembea mpaka destination yako, ila mwenyewe huwa naweza kukaa 30 mins-1 hour just idling na unywaji nisiunotice, nikianza kuondesha baada ya hpo nitaiona geji imeshuka kidogo tu lakini still napata atleast kama 1litre kwa 6-7km hapo ikiwa katika ac kisha imekaa kama 30-mins-1 hour idling then driving. Uku kwetu Zenji kuna watu wananchekesha sana, yaani mtu anakataa kununua Is200 kisa six wakati hio 4 tezza ndio inakunywa hatari.

Mkuu gari yako haijawaka check engine lakini? maana 5.5 litres kwa 8km inatisha sana
 
Lishapigwa bei mkuuuu kitambo ila lilifika kilomita 235000....
Afu hiyo ishu watu wengi wanabisha 1G six cylinder ipo nafuu kwny ulaji wese kuliko 3S ya four cylinder....
Ila wengi hawaelewi....
 
Lishapigwa bei mkuuuu kitambo ila lilifika kilomita 235000....
Afu hiyo ishu watu wengi wanabisha 1G six cylinder ipo nafuu kwny ulaji wese kuliko 3S ya four cylinder....
Ila wengi hawaelewi....
Ni watu kukremisha tu. Mi nawashangaa sana, both cars ni 2000 cc. 1gfe kwa mafuta ni nzuri kuliko 3sge asikudanganye mtu.

Watu wananuna 3sge kwa sababu ya power afu anaamini kuwa hainywi mafuta..... Mkuu hii naweza kuapa kabisa, wakati ndo kwanza Is200 yangu inafika kisiwani from UK, kuna mshkaji wangu alitaka ligi na ki ist chake, kwa vile namie nilitaka kuona how it performs (najua kama hatoniona ata njia nlopitia) nikamwambia twende, tulitia mafuta ya buku 20 tukaanza ruti, ndugu alikamua ist yake mpaka mwisho afu nilikuja kumpita kama alosimama, tunafika destination, jamaa IST yake taa ya mafuta imewaka, mnyama wangu ndo kwanza kenda nusu ya mafuta nlotia. Wakati wa kurudi nikamwambia aende mdog mdogo tu na alifanikiwa kurudi bila kuongeza mafuta. Tangu siku hio nlipenda 6 cylinders bure bure tu. Yaani saiv i prefer hata V8 tu......
 
Mkuu buku 10 unatembea kwa kilomita nane?!!!! Ilo jini Subiani litakuwa, au unaka katika foleni masaa kama 4 ivi?

Hio ni 3sge? Mi nna Is200 1gfe, buku 10 naweza kutembea 47-53km!
ip inaubavu hapo 3sge 4 dual vvti na 1gfe 6
 
Hivi rav 4 new model na old zipi zinakunywa mafuta kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…