Mkuu, hata hivo si mchezo, labda iwe foleni kubwa kweli kweli, kama ni 3sge (4 cylinders) ndo kabisa. Mimi uku hamna kukaa foleni foleni, ukitia gia unatembea mpaka destination yako, ila mwenyewe huwa naweza kukaa 30 mins-1 hour just idling na unywaji nisiunotice, nikianza kuondesha baada ya hpo nitaiona geji imeshuka kidogo tu lakini still napata atleast kama 1litre kwa 6-7km hapo ikiwa katika ac kisha imekaa kama 30-mins-1 hour idling then driving. Uku kwetu Zenji kuna watu wananchekesha sana, yaani mtu anakataa kununua Is200 kisa six wakati hio 4 tezza ndio inakunywa hatari.
Mkuu gari yako haijawaka check engine lakini? maana 5.5 litres kwa 8km inatisha sana