Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
App imebadilishwa majuzi tu na kuwa na muonekano mpya. Ila ndio imekua unstable Zaidi. Haipiti siku mbili bila kusumbua.App za kibongo watu wakiwa wengi zinasumbua dse inapokea transaction nyingi sana.
NB: investors wamekuwa wengi afu app ni yazamani.
KumbeApp za kibongo watu wakiwa wengi zinasumbua dse inapokea transaction nyingi sana.
NB: investors wamekuwa wengi afu app ni yazamani.
Aisee mi nashindwa kuingia kabisaApp imebadilishwa majuzi tu na kuwa na muonekano mpya. Ila ndio imekua unstable Zaidi. Haipiti siku mbili bila kusumbua.
Bongo hawako seriousHii ishu nilihisi ni kwangu tu kila muda wanatuma jumbe zao na app haifunguki wanahitaji marekebisho au kuna namna pato linapotea