Kwanini ardhi hai collapse baada ya miaka mingi ya kuchimba mafuta?

Kwanini ardhi hai collapse baada ya miaka mingi ya kuchimba mafuta?

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Mafuta yanapotoka huko chini yanaacha nafasi. Ardhi iliyopo juu yake haiwezi kuzama chini? Kwanini miaka mingi hili halijawahi kutokea?
 
Kuna miamba mikubwa na migumu sana huko chini sisi uzito wetu ni kama unyoya tu
Sijakuelewa, miamba inaelea juu ya hewa? Ukichimba chini ya nyumba yako ukabakisha uwazi haita collapse?
 
Mzee chukulia mfano kiti unachokalia chenye miguu minne, kwa nini hakicollapse akati chini kuna uwazi? Au unakalia matofali?
 
Mzee chukulia mfano kiti unachokalia chenye miguu minne, kwa nini hakicollapse akati chini kuna uwazi? Au unakalia matofali?
Kwahiyo dunia ni kama kiti juu ya ardhi? Dunia imekaa juu ya nini?
 
Back
Top Bottom