Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Jul 9, 2022 #1 Mafuta yanapotoka huko chini yanaacha nafasi. Ardhi iliyopo juu yake haiwezi kuzama chini? Kwanini miaka mingi hili halijawahi kutokea?
Mafuta yanapotoka huko chini yanaacha nafasi. Ardhi iliyopo juu yake haiwezi kuzama chini? Kwanini miaka mingi hili halijawahi kutokea?
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 921 Reaction score 2,842 Jul 9, 2022 #2 Kuna miamba mikubwa na migumu sana huko chini sisi uzito wetu ni kama unyoya tu
wined JF-Expert Member Joined Nov 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,781 Jul 9, 2022 #3 shatisuruali said: Kuna miamba mikubwa na migumu sana huko chini sisi uzito wetu ni kama unyoya tu Click to expand... Nafunga uzi
shatisuruali said: Kuna miamba mikubwa na migumu sana huko chini sisi uzito wetu ni kama unyoya tu Click to expand... Nafunga uzi
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Jul 9, 2022 Thread starter #4 shatisuruali said: Kuna miamba mikubwa na migumu sana huko chini sisi uzito wetu ni kama unyoya tu Click to expand... Sijakuelewa, miamba inaelea juu ya hewa? Ukichimba chini ya nyumba yako ukabakisha uwazi haita collapse?
shatisuruali said: Kuna miamba mikubwa na migumu sana huko chini sisi uzito wetu ni kama unyoya tu Click to expand... Sijakuelewa, miamba inaelea juu ya hewa? Ukichimba chini ya nyumba yako ukabakisha uwazi haita collapse?
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 921 Reaction score 2,842 Jul 9, 2022 #5 Mzee chukulia mfano kiti unachokalia chenye miguu minne, kwa nini hakicollapse akati chini kuna uwazi? Au unakalia matofali?
Mzee chukulia mfano kiti unachokalia chenye miguu minne, kwa nini hakicollapse akati chini kuna uwazi? Au unakalia matofali?
B BabuMkubwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 2,417 Reaction score 3,590 Jul 9, 2022 #6 Championship said: Sijakuelewa, miamba inaelea juu ya hewa? Ukichimba chini ya nyumba yako ukabakisha uwazi haita collapse? Click to expand... Chukua nazi uitoboe kwa drillbit halafu nyonya yale maji yake yote je ukibonyeza itabonyea ? Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Championship said: Sijakuelewa, miamba inaelea juu ya hewa? Ukichimba chini ya nyumba yako ukabakisha uwazi haita collapse? Click to expand... Chukua nazi uitoboe kwa drillbit halafu nyonya yale maji yake yote je ukibonyeza itabonyea ? Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Jul 9, 2022 Thread starter #7 shatisuruali said: Mzee chukulia mfano kiti unachokalia chenye miguu minne, kwa nini hakicollapse akati chini kuna uwazi? Au unakalia matofali? Click to expand... Kwahiyo dunia ni kama kiti juu ya ardhi? Dunia imekaa juu ya nini?
shatisuruali said: Mzee chukulia mfano kiti unachokalia chenye miguu minne, kwa nini hakicollapse akati chini kuna uwazi? Au unakalia matofali? Click to expand... Kwahiyo dunia ni kama kiti juu ya ardhi? Dunia imekaa juu ya nini?