Kwanini Arsene hafukuzwi kazi Arsenal?

Kama wanataka kumbakisha, wampe kazi kwenye uongozi, ukocha awaachie wengine.
Asee Hata Mi Ndo ningependa iwe hvo., ni ngumu kwa Arsenal kuja kuchukua ubingwa chini ya Arsene Wenger...
 
Wenger siku akiamua mwenyewe kutimka, bila hivyo sidhani.
 
Akifukuzwa ww utafaidika na nn acha roho mbaya
 
Hivi mkataba wake unaisha lini?
Mods nadhani muda umefika kwa kutoa msemo wa "be the first to reply" na kuweka "be Joseverest" maana daah..! Sio kwa kuwahi huku kureply..! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Naona Pro-Arsene Wenger umejitahidi sana, nakubaliana nawe kwa sababu za stability na continuity, ila game imebadilika sana mkuu, babu anajaribu kukimbizana nayo ila am sorry to say his tenure at Game Theory has reached its life-cycle.
Kafanya mazuri mengi kwa fans na zaidi hasa kwa wawekezaji, ila tukubali kila kizuri kina mwanzo na mwisho, tatizo nafikiri walilonalo Board of Directors ni nani wa kumpa hicho kiti na aendeleze legacy.
Katika kuendeleza thread yako tumeona kuna power struggle Game Theory
Stan Kroenke makes £525m offer to buy Alisher Usmanov’s Arsenal shares Stan Kroenke makes £525m offer to buy Alisher Usmanov’s Arsenal shares
Twachoombea amalize hiyo miaka 2 vizuri aende, aje mwingine tuone tutaendelea kivipi...
 
Arsena WENGA hafukuzi arsenal hadi wabadilishe JINA LA TIMU...huoni majina yanavyofanana?
 
aje mwingine nani?!..wachezaji wa arsenal wangekua wanacheza kama walivocheza game ya Chelsea juzi..ndani ya miaka 10 ilyopita wangechukua ubingwa walau Mara 3..tatizo hawakazani,na sidhani MTU mzima kama Ramsey anatakiwa kuimbiwa mapambio ya kukazana na wenger
 
Naona mkuu unapigilia msumari wa moto kwa mashabiki wa Arsenal
 
2019 katikati
Huyu mzee tukitaka aondoke labda Mungu amchukue siombei lakini ila ndo ukweli ulivyo.......

Huyu mzee anataka aondoke kwa heshima kwa kuwapa watu kombe la Epl
 
Xhaksminist: 23805604 said:
Mkuu,sikatai Wenger ni kocha mzuri., bt show ya epl imebadilika pakubwa mno...
Kimebadilika nini zaidi ya man city kuwa timu yenye hela?
 
Arsenal watakuwa vizuri sana msimu ujao wameajiri jamaa wawili mmoja kutoka dortimund huyu yupo vizuri sana kwenye kurecriut wachezaji wazuri Alafu wamemchukua mkurugenzi wa maswala ya soka wa barcelona huyu sasa ni mzee wa figisu yupo vizuri kwenye mambo ya mikataba ya wachezaji na mambo ya usajili kwa ujumla
 
Timu kama wake zetu?! Yaani hujuwi mkiamka kuna kucheka au kununiwa!
Shidaaa...
 
Watamtoa kama Mugabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…