We naona unaongea facts ila mkuu najua kila mziki una influence yake me mpaka saivi sijui ni nani aliwavutia sana watu wa Arusha kuwa addicted na hip-hop sababu kule mpaka watoto wanaona hip-hop au reggae ndio mziki wa wajanja.Mazingira.
Jigraphia yake.
Uwepo wa viamsha hisia.
Lugha.
Ugumu wa maisha.
Utalii.
Itikadi.
Uanaharakati miongoni mwa vijana.
Kiburudisho cha vijana hasa wanafanya kazi
Migodini.
Hahaahaa hawa jamaa ndiomana wanasema wapo tofauti sana na maeneo mengine ya Tanzania.Arusha ni watu hovyo hovyo sana
unaweza ukafika mahali wao hawasikilizi nyimbo ya mtu yeyote wao wanasikiliza nyimbo zao na za marafiki zao tu
Cha ajabu wanakoipenda hailipi,hadi waje Dar,kama wale waimba gospel wa Mbeya lazima waje Dar ndio watoke.Ni kwanini wasanii wakubwa kama joh makini nick ii lord eyes ibrah da hustler g nako WCB dogo janja n. k wote wanatokea Arusha na wanaimba mziki unaofanana.
Kwanini Arusha isiwe na waimba taarab au r n b wengi kama hip-hop ambayo ndio kama lifestyle yao????
Halafu nadhani arusha inaongoza kuwa na wadada wenye muonekano wakiume
[emoji1] [emoji1]Halafu nadhani arusha inaongoza kuwa na wadada wenye muonekano wakiume
Aisee!Halafu nadhani arusha inaongoza kuwa na wadada wenye muonekano wakiume
Sure mkuu wana ubaguzi wa hali ya juuArusha ni watu hovyo hovyo sana
unaweza ukafika mahali wao hawasikilizi nyimbo ya mtu yeyote wao wanasikiliza nyimbo zao na za marafiki zao tu
Halafu nadhani arusha inaongoza kuwa na wadada wenye muonekano wakiume