Kwanini Arusha inaongoza kwa maceleb wa hip-hop?

Kwanini Arusha inaongoza kwa maceleb wa hip-hop?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Ni kwanini wasanii wakubwa kama Joh Makini, Nick ii, Lord Eyes, Ibrah da Hustler, G Nako, WCB, Dogo Janja n. k wote wanatokea Arusha na wanaimba mziki unaofanana.

Kwanini Arusha isiwe na waimba taarab au r n b wengi kama hip-hop ambayo ndio kama lifestyle yao????



 
Hii sio bure mpaka kanisani wanaabudu na punchlines hahahaaa.
 
Mazingira.
Jigraphia yake.
Uwepo wa viamsha hisia.
Lugha.
Ugumu wa maisha.
Utalii.
Itikadi.
Uanaharakati miongoni mwa vijana.
Kiburudisho cha vijana hasa wanafanya kazi
Migodini.
We naona unaongea facts ila mkuu najua kila mziki una influence yake me mpaka saivi sijui ni nani aliwavutia sana watu wa Arusha kuwa addicted na hip-hop sababu kule mpaka watoto wanaona hip-hop au reggae ndio mziki wa wajanja.

Waliofika Arusha watakubaliana na mimi vifodi vya kule bila kupiga reggae watu hawapandi.
 
Ni kwanini wasanii wakubwa kama joh makini nick ii lord eyes ibrah da hustler g nako WCB dogo janja n. k wote wanatokea Arusha na wanaimba mziki unaofanana.

Kwanini Arusha isiwe na waimba taarab au r n b wengi kama hip-hop ambayo ndio kama lifestyle yao????



Cha ajabu wanakoipenda hailipi,hadi waje Dar,kama wale waimba gospel wa Mbeya lazima waje Dar ndio watoke.
 
Cha ajabu wanakoipenda hailipi,hadi waje Dar,kama wale waimba gospel wa Mbeya lazima waje Dar ndio watoke.
Na kweli Dar ndio mambo yote kuanzia standard recording sponsors mpaka coverage ya media.
 
Hip hop sio mziki wakuu... Bali ni utamaduni uliorithiwa kutoka kwa wenzetu waliochukuliwa Kama watu mwa na kupelekwa Huko mbele... Sijui ni kwann Arusha waliopo kea kwa nguvu na wameundeleza, Bali ninachojua kuna kipindi flani in mid90's huu utamaduni ulishika husika za vijana Wengi Tanzania. Cha kushangaza Arusha bado wameukumbatia. Sasa sielew kuna kipi kinachowafanya waishi kwa utamaduni wa kiharakati...
 
Halafu nadhani arusha inaongoza kuwa na wadada wenye muonekano wakiume
 
Arusha ni watu hovyo hovyo sana
unaweza ukafika mahali wao hawasikilizi nyimbo ya mtu yeyote wao wanasikiliza nyimbo zao na za marafiki zao tu
Sure mkuu wana ubaguzi wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom