Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ni bingwa wa kuwanyima watu haki ya kuishiMmeanza 🐼
Huyo kinara alishwindwa kwenda DSM ?Arusha yupo kinara wa wasiojulikana.
Yuko bize na clinicHuyo kinara alishwindwa kwenda DSM ?
Utamfahamu vipi wakati wewe unashinda Facebook babu!....Kijana aliyetekwa katolewa oysterbay Dar es Salaam kapelekwa Arusha, swali ka kujiuliza Arusha kuna nini mpaka mtu atekwe kiharamia apelekwe huko?
Lakin jambo lingine la ajabu who is Sativa? Nina uhakika ukienda mtaani ukiuliza wananchi hakuna anayemjua hata mimi ndio nimemjua jana!
Kama usalama wa taifa unaweza poteza muda na gharama kwa mtu ambaye hata jamii haimjui na hana tishio lolote tunasafari ndefu sana, hizo gharama za kumtoa mtu mpaka Arusha na baadae mpaka Katavi.
====
Pia soma: Sativa kutolewa Dar mpaka Arusha kisha kwenda kutupwa Katavi. Inawezekana aliyefanya utekaji huu ndiye aliyepanga shambulio la Lissu?
Unanijua kwani mpaka unaposema nashinda facebookUtamfahamu vipi wakati wewe unashinda Facebook babu!....
Bashite mikono yake imejaa damuWalimpeleka kwa muuaji mkuu bashite ili kumuonyesha kwamba wametekeleza agizo ili walipwe kisha wakaamriwa waende wakamuulie mbali huko katavi
Michongo michongo tuKijana aliyetekwa katolewa oysterbay Dar es Salaam kapelekwa Arusha, swali ka kujiuliza Arusha kuna nini mpaka mtu atekwe kiharamia apelekwe huko?
Lakin jambo lingine la ajabu who is Sativa? Nina uhakika ukienda mtaani ukiuliza wananchi hakuna anayemjua hata mimi ndio nimemjua jana!
Kama usalama wa taifa unaweza poteza muda na gharama kwa mtu ambaye hata jamii haimjui na hana tishio lolote tunasafari ndefu sana, hizo gharama za kumtoa mtu mpaka Arusha na baadae mpaka Katavi.
====
Pia soma: Sativa kutolewa Dar mpaka Arusha kisha kwenda kutupwa Katavi. Inawezekana aliyefanya utekaji huu ndiye aliyepanga shambulio la Lissu?
Matusi ni kosa la Jinai kwanini wasimyake na kumsimamisha Kizimbani?!Tunapinga utekaji, kutesa na kuua raia. Ila jamani na wakosoaji tuwe tunakosoa kwa hoja sio kwa lugha chafu.! Yule kijana anayatupa matusi sio mchezo, hata ukipitia page yake uko twitter ni aibu.
Tujifunze kuchukuliana, hata km mtu mmepishana basi mpingane kwa hoja.
Matusi yanaumiza tuache unafiki, ila isiwe ndio kigezo cha kujichukulia sheria mkononi
Wengine hawana uvumilivu huo wa kupelekana kituo cha polisi, wanakuacha ujae wakupoteze huko police wanaona km wanapoteza muda.! Wao wanataka wakufunze wenyewe.Matusi ni kosa la Jinai kwanini wasimyake na kumsimamisha Kizimbani?!
Tena ukionyesha kuwa yeyote atakaetukana matusi ananyakwa Vijana wengi watafuata SHERIA.
Sheria zisipofuatwa Nchi itakuwa ni Uwanja wa Fujo.Wengine hawana uvumilivu huo wa kupelekana kituo cha polisi, wanakuacha ujae wakupoteze huko police wanaona km wanapoteza muda.! Wao wanataka wakufunze wenyewe.
Na waliotunga sheria ndio wavunjaji sheria.Sheria zisipofuatwa Nchi itakuwa ni Uwanja wa Fujo.
Ni hilo tu.