Kwanini asilimia kubwa ya sisi tunashindwa kuongozana na wake au wapenzi wetu?

bievinii

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
712
Reaction score
736
Hivi hapa inakuwaje wakuu unaalikwa kwenye part unaenda peke yako au kimada, wife yuko home au wengine hata njiani tu utakuta wako safari moja lakini mwanaume anakaribia mtaa wa pili mwanamke ndio anaingia mtaa wa kwanza.

Hivi inakuwaje kama unaona sio taipu yako usingemuoa basii khaa....

N.B Mimi simo lakini.
 
HV hapa inakuwaje wakuu unaalikwa kwenye part unaenda pke ako au kimada wife Yuko home
Au wengine hata njiani tu utakuta wako safari moja lakini mwanaume anakaribia mtaa wa pili mwanamke ndio anaingia mtaa wa Kwanza
HV inakuwaje km unaona sio taipu yako usingemuoa basii khaa....
N.B mim simo lkn
Kama umeoa basi una ndoa changa. Huna haja ya kuuliza hapa, kila mtu ana jibu lake. Acha muda ukupe jibu lako pia.
 
Kusema ni type ama sio type sidhani kama moja kati ya hayo litakuwa ni jibu sahihi.
Ila kuna mengi husababisha hiyo hali "ikiwa ni tatizo/kuna tatizo nyuma ya hiyo hali" ila kama siyo basi ni dhana tu.
Kwani wewe umefanya utafiti gani wenye uhalali wa mada??
 
HV hapa inakuwaje wakuu unaalikwa kwenye part unaenda pke ako au kimada wife Yuko home
Au wengine hata njiani tu utakuta wako safari moja lakini mwanaume anakaribia mtaa wa pili mwanamke ndio anaingia mtaa wa Kwanza
HV inakuwaje km unaona sio taipu yako usingemuoa basii khaa....
N.B mim simo lkn
kama ukioa wife material halafu anayekupa peace of mind ...kwa vyovyote vile anakuwa siyo wa show off kwa watu wengine....huyo ndiye mwanamke wa kuishi naye ndani na siyo kuongozana naye nje... ....ila michepuko ndiyo ya kuongozana nayo nje kwa show off manake haiwezi kufugika ndani
 
Na hapo tunamkumbuka yule muhenga aliesema "kunguru hafugiki na hata ukimfuga hageuki njiwa
 
HV hapa inakuwaje wakuu unaalikwa kwenye part unaenda pke ako au kimada wife Yuko home
Au wengine hata njiani tu utakuta wako safari moja lakini mwanaume anakaribia mtaa wa pili mwanamke ndio anaingia mtaa wa Kwanza
HV inakuwaje km unaona sio taipu yako usingemuoa basii khaa....
N.B mim simo lkn
Ukiona hivyo huyo mwanamke ni kimeo, Mwanaume anataka respect, kama hio hakuna hata Akiwa mzuri kiasi gani kwa Mume ni takataka na matokeo yake ndio hayo
 
HV hapa inakuwaje wakuu unaalikwa kwenye part unaenda pke ako au kimada wife Yuko home
Au wengine hata njiani tu utakuta wako safari moja lakini mwanaume anakaribia mtaa wa pili mwanamke ndio anaingia mtaa wa Kwanza
HV inakuwaje km unaona sio taipu yako usingemuoa basii khaa....
N.B mim simo lkn
Mdogo angu ukishawaoa wanabadilika wanakua ka vibwengo
 
Back
Top Bottom