Kwanini asilimia kubwa ya sisi tunashindwa kuongozana na wake au wapenzi wetu?

Mbona huyu wa kwangu tukitoka out Muda wote kanipiga pini, tena anakaba mpaka nakosa hata time ya kugeuka kuchek uumbaji wa Mungu.
 
Labda alikuendea kwa Babu akakutia kwenye chupa
 
Back
Top Bottom