onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,356
- 1,309
Kufuatia mfululizo wa ibada zake na neno kuu "Corona", Askofu Gwajima amevutia idadi kubwa ya watu kumfuatilia kwenye mitandao huususan YouTube.
Mojawapo ya ujumbe wake ni kuishambulia Serikali especially viongozi wa juu na kulaumu Ni kwa Nini wameruhusu chanjo.
Amekwenda mbali na kusema walifake chanjo.
Tuhuma ya Gwajima ni nzito though yeye kwa matamshi anatumia neno hiari. Huku akiponda Sana walioruhusu chanjo.
Moja ya ibada alisema Kuna dalili watu walihongwa, nyingine akawa anawaponda viongozi hao na kusema hawana msimamo.
Kipindi Cha Magufuli walisema hawana Imani na chanjo na Sasa kipindi Cha Samia wanaikubali chanjo na kusema inasaidia, kitu ndani ya miezi 5 kauli 2 tofauti.
Gwajima watu Kama Hawa anasema hawafai kuongoza na Bora wajiuzulu.
Jana amekuja na lingine kuwa walifake kuchanjwa.
Serikali nao kiunyonge wanasema ikibainika mtu akafa kwa kufuata maneno ya Gwajima watachukua hatua.
Hii kauli kwangu Ni kuonyesha namna wanavyomuogopa Gwajima na kujishikiza kwa watu wengine tu walio wanyonge.
Serikali ionyeshe kuwa hili zoezi Ni la mkakati na kamwe wasiruhusu mtu kulichezea na kugomesha watu.
Hivi Nini maana ya ugaidi? Gwajima hapa na Mbowe Nani gaidi?
Ukichezea afya za watu na kulingana na serikali Nini maana yake? Iweje, Serikali iende kwenye makanisa kuwasaka watu wanaotekeleza majukumu Yao ya kikatiba kusbudu na kumuacha mtu moja akiichafua hiyo Serikali na kuwagomesha watu wasiitikie zoezi la kiserikali ya kuwapatia watu wake Kinga dhidi ya Covid 19?
Tunaoneana aibu au ndio ukiwa CCM kila Jambo ni shwari hata Kama unaenda kinyume?
Nataka nisikie kauli ya Waziri mkuu , makamu wa rais na rais mwenyewe kwenye hili.
Ugaidi siyo lazima uwaue viongozi hata kuingilia miundombinu ya afya pia Ni sehemu ya utekelezaji wake.
Zaidi naona Kuna haja ya katiba mpya.
Mungu ibariki Tanzania