#COVID19 Kwanini Askofu Gwajima anaogopwa kiasi hiki na hii Serikali?

#COVID19 Kwanini Askofu Gwajima anaogopwa kiasi hiki na hii Serikali?

Ukitaka mwanadamu awe mnyonge kwako wewe jua siri zake nyingi.
 
Gwajima Haogopwi ni Haki yake Kukataa Chanjo kwani Chanjo ni HIARI.

MBONA Kipindi cha Magufuli Hawa Hawa Wanaompinga Gwajima mbona Nao Waliungana na Magufuli kupinga CHANJO?Gwajima hakutaka kuwa Kugeugeu kama huyu Dr.Molel hebu Soma hapa Chini Aliyoyasema View attachment 1895002

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Haya ni baadhi tu ya makombora ya GwajiBoy wakimwaga mboga - ha ha ha
 
onjwayo labda nikusaidie tu kukuambia ya kwamba kama kuna Mtu mwepesi na wala haogopwi kama udhaniavyo ni huyu Askofu Gwajima wako.

Tanzania imeshawahi kuwa na Watu tishio tena kutoka katika Taasisi zenye Makao yake Upanga na Oysterbay ila walitulizwa bila ya Wao kuamini na kushika Adabu zao.

Kinachofanyika sasa mpaka unaona Kimya na anaogopwa ni hitaji la Kimedani kwamba mpe Adui Uhuru aonyeshe Mabavu yake ili umsome vyema na uijue nguvu yake kusudi ukija Kummaliza humbakishi Yeye wala anaoshirikiana nao katika Ujeuri, Chokochoko na Kiburi.

Itawachukua mda sana kuelewa haya hao ambao ni wafuasi
 
Back
Top Bottom