onjwayo labda nikusaidie tu kukuambia ya kwamba kama kuna Mtu mwepesi na wala haogopwi kama udhaniavyo ni huyu Askofu Gwajima wako.
Tanzania imeshawahi kuwa na Watu tishio tena kutoka katika Taasisi zenye Makao yake Upanga na Oysterbay ila walitulizwa bila ya Wao kuamini na kushika Adabu zao.
Kinachofanyika sasa mpaka unaona Kimya na anaogopwa ni hitaji la Kimedani kwamba mpe Adui Uhuru aonyeshe Mabavu yake ili umsome vyema na uijue nguvu yake kusudi ukija Kummaliza humbakishi Yeye wala anaoshirikiana nao katika Ujeuri, Chokochoko na Kiburi.