Area 56
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,555
- 4,085
Miaka ile ya Mrema anagombea Urais nchi ilikuwa ya moto.
Askofu Kakobe alikuwa upande wa Mrema. Alikuwa wa moto.
Ghafla akaambiwa kanisa lake limejengwa kwenye njia ya umeme mkubwa, linatakiwa libomolewe.
Akaja kuachana na siasa na hataki kuisikia tena.
Askofu Gwajima (sauti ya wengi) amejaribu kupaza sauti juu ya kupotea kwa wananchi.
Je yale madhila ya Askofu Kakobe yatamkuta na yeye? Tusubiri tuone