Area 56 JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 1,555 Reaction score 4,085 Jun 1, 2025 #1 Miaka ile ya Mrema anagombea Urais nchi ilikuwa ya moto. Askofu Kakobe alikuwa upande wa Mrema. Alikuwa wa moto. Ghafla akaambiwa kanisa lake limejengwa kwenye njia ya umeme mkubwa, linatakiwa libomolewe. Akaja kuachana na siasa na hataki kuisikia tena. Askofu Gwajima (sauti ya wengi) amejaribu kupaza sauti juu ya kupotea kwa wananchi. Je yale madhila ya Askofu Kakobe yatamkuta na yeye? Tusubiri tuone
Miaka ile ya Mrema anagombea Urais nchi ilikuwa ya moto. Askofu Kakobe alikuwa upande wa Mrema. Alikuwa wa moto. Ghafla akaambiwa kanisa lake limejengwa kwenye njia ya umeme mkubwa, linatakiwa libomolewe. Akaja kuachana na siasa na hataki kuisikia tena. Askofu Gwajima (sauti ya wengi) amejaribu kupaza sauti juu ya kupotea kwa wananchi. Je yale madhila ya Askofu Kakobe yatamkuta na yeye? Tusubiri tuone
Baba wa mbingu JF-Expert Member Joined Jul 30, 2022 Posts 563 Reaction score 1,362 Jun 1, 2025 #2 we unaamin haya mazingaumbwe ya green party
D Dume Jembe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2024 Posts 707 Reaction score 774 Jun 1, 2025 #3 Hapa hapatoshi patachimbika
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jun 1, 2025 #4 Labda kazeeka sana, kawaachia vijana nao wajipambanie
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 1, 2025 #5 leo kama utalala na ulivyolewa bia za ccm. ni kuulize swali miaka ya 90 kulikuwa na simu janja. sio huyo mpaka bakharesa alishafanyiwa figusi kuunga nguvu ya cuf
leo kama utalala na ulivyolewa bia za ccm. ni kuulize swali miaka ya 90 kulikuwa na simu janja. sio huyo mpaka bakharesa alishafanyiwa figusi kuunga nguvu ya cuf
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,991 Jun 1, 2025 #6 Huyu Baba alishajua amekuwa uchi, akachutama. Unadhani kutangaza una pesa kuliko Serikali ni mchezo?
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 Jun 1, 2025 #7 Kakobe, derived from kama Kobe. Kobe akiinama ujue anatunga sheria Kali so mchungaji soon atarudi.
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 11,613 Reaction score 13,543 Jun 1, 2025 #8 Hakuna mchungaji huwa namkubali sana katika kusimamia kile anakiamini kama mzee wa upako, hanaga mbamba
Hakuna mchungaji huwa namkubali sana katika kusimamia kile anakiamini kama mzee wa upako, hanaga mbamba
N neez JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 237 Reaction score 332 Jun 1, 2025 #9 Ya safari hii ni tofauti, yeye ndo anataka aungwe mkono
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,711 Reaction score 31,331 Jun 1, 2025 #10 Gwajima awekwe kwenye mfumo
kiLimIlire JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 519 Reaction score 1,330 Jun 1, 2025 #11 Taifa linahitaji watu wachache sana sana kama si mmoja kabisa ambao wanaweza kujitoa mhanga ili kusababishia taifa mabaliko ya kisiasa au kiuchumi.
Taifa linahitaji watu wachache sana sana kama si mmoja kabisa ambao wanaweza kujitoa mhanga ili kusababishia taifa mabaliko ya kisiasa au kiuchumi.
one b JF-Expert Member Joined Jun 30, 2017 Posts 1,669 Reaction score 4,055 Jun 1, 2025 #12 chiembe said: Gwajima awekwe kwenye mfumo Click to expand... ili iweje? hivi ninyi ni watanzania kweli?
chiembe said: Gwajima awekwe kwenye mfumo Click to expand... ili iweje? hivi ninyi ni watanzania kweli?
Action and Reaction JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 1,542 Reaction score 1,583 Jun 1, 2025 #13 Gwajima ni kijana na mwanasiasa, Baba yetu Kakobe umri umeenda na hajawahi kugombea siasa Ila akiona kyna uonevu hakai kimya....
Gwajima ni kijana na mwanasiasa, Baba yetu Kakobe umri umeenda na hajawahi kugombea siasa Ila akiona kyna uonevu hakai kimya....
Greatest Of All Time Platinum Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,550 Reaction score 62,019 Jun 2, 2025 #14 Action and Reaction said: Gwajima ni kijana na mwanasiasa, Baba yetu Kakobe umri umeenda na hajawahi kugombea siasa Ila akiona kyna uonevu hakai kimya.... Click to expand... Tumsapoti Gwajima kipindi hiki kigumu
Action and Reaction said: Gwajima ni kijana na mwanasiasa, Baba yetu Kakobe umri umeenda na hajawahi kugombea siasa Ila akiona kyna uonevu hakai kimya.... Click to expand... Tumsapoti Gwajima kipindi hiki kigumu