Kwanini Aslay anapenda mno kujilambalamba, kurembua na kupinda shingo akiwa anaongea?

hivi mkuu unatupia taipureata kutupia post zako au
 
ndo kama hii
 

Attachments

  • typewriter.jpeg
    72.7 KB · Views: 39
Una hoja, ila nafikiri ingekuwa vyema zaidi endapo ungewasilisha kama ushauri kwa mlengwa kwa muktadha kwamba aache citu flani flani ambavyo ofcoz umeviona kwamba si sawa. Ikiwa kama swali inaleta ukakasi kdg kwa kuwa hakuna mwenye majibu huu ya hilo zaidi ya Aslay mwenyewe!
Ujumbe umemfikia ingawa!
 
vip mhenga unataka umtokee nini,dogo ana mapozi
 
mkuu nadhani hili swali tummulize mange kimangi, huwa hakosagi majibu ya kina
 
Nazani swali hili anaweza kulijibu yeye binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…