Kwanini Aslay anapenda mno kujilambalamba, kurembua na kupinda shingo akiwa anaongea?

Kwanini Aslay anapenda mno kujilambalamba, kurembua na kupinda shingo akiwa anaongea?

Maskini Tanzania yetu...watu wamegeuka wambea, wanaume kwa wanawake. Ngoma droo! btw, mwanaume unaanzaje ku-report umbea kama watoto wa kike? kazi mnafanya saa ngapi?I don't get it! Mleta thread kama siyo KE, basi Una vinasaba vya KE! ...Haiwezekani story zake zote ni za kipunga punga tu.
Prof asante kwa kuliona hili. Huyu jamaa yeye thread zake ni za mtindo huu. Juzi alim attack Kikeke wa BBC, leo huyu kijana. Nadhani na yeye ana vinasaba vya kike kike maana it seems anaona wivu wanzake wanafanikiwa kurembua yeye hawezi! Au ni mwanamke maana hizi ni tabia za kike
 
Asante mkuu kwa kuliona hilo. huwa namshangaa sana
 
hizi mambo za kujilamba lips sio aslay tu yupo bob junio, ommy dimpoz na baadhi ya wanaume wa mkoani
 
Kinachonisikitisha kwa huyu Kijana ni kwamba kila ninapoona akifanyiwa Interview akiwa pamoja na Nandy naona Confidence ya Nandy ipo juu maradufu ya Aslay na kuna wakati navutiwa kumtizama na kumsikiliza Nandy kuliko Aslay. Kwa Mtoto wa Kiume kuzidiwa Kujiamini ( Confidence ) na Mtoto wa Kike ni hatari sana na si dalili njema ya Urijali wake wa hapo baadae.

Nauliza tena ni kwanini Mwanamuziki Aslay akiwa anaongea anapenda mno Kujilambalamba, Kurembua macho na Kupinda Shingo na mara nyingi anaonekana kama ni Mtu anayejishtukia Kitu fulani ana aibu ya Kinafiki?

Nawasilisha.
Umri wake bado.
Kalelewa na Single mother(amemrithi) .
Hakupata confidence kutoka kwa Baba.
 
Back
Top Bottom