Wewe mtaani kwenu walokole na waamini lia lia wana alama gani usoni?Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje?
Kwa sababu wanaona walichobuni hakiwasaidii.Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje?
Hawajiamini na idia zao za kuokotezaHuku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje?
sasa utaona wapi? utamjua mkristo kwa kumwona anakwenda kansani, Mwislamu anakwenda mskitini sasa atheists utamjua kwa kumwona anakwenda wapi? Utamchukulia tu labda ni muumini wa dhehebu fulani kama walivyo wengine.Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje?
Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?
ni wachache sana na ni vigumu mno kuwatambua. Mathalani kwenye baraza la mawaziri, Kenya nilimuona waziri moja ambae yeye hakuapa kwa Biblia wala Quran, bahati mbaya sikuskiliza alikua anatamka maneno gani kwenye kuapa 🐒Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje?
Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?
Paragraph yako ya mwisho Ndiyo jibu sahihi.Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje?
Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?