Kwanini Atheists wako mtandaoni tu ila mtaani hawaonekani kabisa?

Kwanini Atheists wako mtandaoni tu ila mtaani hawaonekani kabisa?

Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje?

Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?

They are also secretly involved in the game of power, fame and fortune, under many different guises
 
Back
Top Bottom