Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje?
Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?