matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Zamani ukijiunga dakika unakula na MB 500 au hata GB 1.
Offer nyingi zilikuwa zinaenda sanjari Dakika na Vifurushi ya Internet.
Sasa imekuwa tofauti kabisa. Eti Tsh. 1000 ukicheza kama hujui kuifukua menu ya Vifurushi unaweza kununua MB 100.
Nini kimetokea?