mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Bando lao la gb 1 kwa buku.
Unaanza kutumia saa 6 usiku mpaka saa kumi jioni .nikajiuliza hawa Wana akili kweli
Unaanza kutumia saa 6 usiku mpaka saa kumi jioni .nikajiuliza hawa Wana akili kweli
Wale hama kitu. Sijui ndio 4G yaani ukijiunga cha 5000 linalambwa faster kuliko 500Mb za Halotel kwa 500.