matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Sahiv mtindo wa kusajili na kuhama mtandao sio wa hovyohovyo ukizingatia maswala ya NIDA kwahio mtu anaona kuliko ahangaike kuhama mtandao huu kwenda huu bora avumilie aendelee kunyonywa
Sahiv mtindo wa kusajili na kuhama mtandao sio wa hovyohovyo ukizingatia maswala ya NIDA kwahio mtu anaona kuliko ahangaike kuhama mtandao huu kwenda huu bora avumilie aendelee kunyonywa
Lkn imesababisha tumekuwa na line nyingi. Mfano Halotel kwa ajili ya angalau Vifurushi internet bei nafuu. Na ile ya ziku zote miaka yote.Sahiv mtindo wa kusajili na kuhama mtandao sio wa hovyohovyo ukizingatia maswala ya NIDA kwahio mtu anaona kuliko ahangaike kuhama mtandao huu kwenda huu bora avumilie aendelee kunyonywa
Ni ngumu kwa kuwa company nyingi za mitandao ya mawasiliano zinakuwaga na makubaliano ya kibiashara.Lkn imesababisha tumekuwa na line nyingi. Mfano Halotel kwa ajili ya angalau Vifurushi internet bei nafuu. Na ile ya ziku zote miaka yote.
Tatizo linakuja kesho Halotel watapandisha bei alafu Tigo wanashusha itabidi utupe line Halotel ununue tena Tigo.
Zamani haikuwa hivyo. Hata kama zinatofautiana ila sio gap kubwa sana
2018 kurudi nyuma kidogoHuko nyuma wapi
Angalau kidogo hawa jamaa ila siamini kama watadumu na hii offer. Watu wengi wakihamia huko wataziondoa.Halotel Bado wana utaratibu huo ukinunua mfano kifurushi cha data gb 1 kwa buku unapewa unlimited messages na dk 10 kwenda Halotel.
Ndio hivyo haya makampuni yakishapata wateja yanachofanya ni kuwakamua tu.Angalau kidogo hawa jamaa ila siamini kama watadumu na hii offer. Watu wengi wakihamia huko wataziondoa.
Wale hama kitu. Sijui ndio 4G yaani ukijiunga cha 5000 linalambwa faster kuliko 500Mb za Halotel kwa 500.Voda Wana vifurushi vya kijinga Sana.
Kujisajili kwa kitambulisho cha utaifa imekua ni chanzo, wanajivunia kupata wateja wa kudumu
Zamani ukijiunga dakika unakula na MB 500 au hata GB 1.
Offer nyingi zilikuwa zinaenda sanjari Dakika na Vifurushi ya internet.
Sasa imekuwa tofauti kabisa. Eti 1000Tsh ukicheza kama hujui kuifukua menu ya Vifurushi unaweza kununua MB 100.
Nini kimetokea?
Watu wanafidia hela walizolazimishwa kuchangia kwa ajili ya kampeni ya chama.Awamu hii Makampuni husika wanatozwa Kodi kubwa kupita awamu zingine.