mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Oct 12, 2020 #21 Bando lao la gb 1 kwa buku. Unaanza kutumia saa 6 usiku mpaka saa kumi jioni .nikajiuliza hawa Wana akili kweli matunduizi said: Wale hama kitu. Sijui ndio 4G yaani ukijiunga cha 5000 linalambwa faster kuliko 500Mb za Halotel kwa 500. Click to expand...
Bando lao la gb 1 kwa buku. Unaanza kutumia saa 6 usiku mpaka saa kumi jioni .nikajiuliza hawa Wana akili kweli matunduizi said: Wale hama kitu. Sijui ndio 4G yaani ukijiunga cha 5000 linalambwa faster kuliko 500Mb za Halotel kwa 500. Click to expand...
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Oct 12, 2020 #22 Jeceel said: Huko nyuma wapi Click to expand... Siyo nyuma unayoiwaza wewe, hamaanishi hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Jeceel said: Huko nyuma wapi Click to expand... Siyo nyuma unayoiwaza wewe, hamaanishi hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app