Kwanini awamu hii ya 6 Muungano umekua hati hati kuvunjika?? kwanini hii hali haijawai kuwa moto hivi miaka ya nyuma

Kwanini awamu hii ya 6 Muungano umekua hati hati kuvunjika?? kwanini hii hali haijawai kuwa moto hivi miaka ya nyuma

Sababu kuu mama wa kizanzibar ana endesha serikali ya muungano, hii ni mara ya kwanza kwa mzanzibar kuwa rais wa muungano.

Ali Hassan Mwinyi kwao Mkuranga ndio maana akazikwa kwao msije mkasema Mpemba yule.
 
hii suala la muungano siyo Mtanganyika au Mzanzibar anayeridhika nayo, ni vyema serikali ikarekebisha vipengele kwenye huo muungano ili wananchi wa JMT waridhike.

mbona ni easy tu.!, kwani kuna siri gani?
 
Uvunjike tu hauna manufaa yeyote kwa watanganyika. Ukivunjika wamchukue na mama yao waende nae
 
hii suala la muungano siyo Mtanganyika au Mzanzibar anayeridhika nayo, ni vyema serikali ikarekebisha vipengele kwenye huo muungano ili wananchi wa JMT waridhike.

mbona ni easy tu.!, kwani kuna siri gani?
Kuna vitu havisemwi
 
Wale wapumbavu wenye vichwa visivyo na visogo kama redio za kichina wanaona dada yao yuko kwenye mpini ndio wanatikisa kibiriti lakini dada yao hawezi kubali hii keki imtoke mikononi kirahisi hivyo, lakini pia sisi Watanganyika wengi tuna chukizwa na utawala wa hovyo uliopo
 
Muungano wa kiwaki,, wazanzibar wanafaidi zaidi kuliko wabala,, lakini hawajielewi ni kama mtoto pendwa kwenye familia kila saa nyee nyee nyee,, mwishowe tumeichoka sasa,,
 
Back
Top Bottom