Kwaiyo wazanzibar wanatumia hii nafasiSababu kuu mama wa kizanzibar ana endesha serikali ya muungano, hii ni mara ya kwanza kwa mzanzibar kuwa rais wa muungano.
Ali Hassan Mwinyi kwao Mkuranga ndio maana akazikwa kwao msije mkasema Mpemba yule.
Watajijua wenyewe kama koloni au korodanizanzibar ni koloni ni kama hong kong