Kwanini awamu ya sita haina Waziri machachari?

Mama hataki huo upuuzi, anataka kazi iongee yenyewe.

Wapuuzi kama Jafo wapo serikali hii lakini upuuzi wao uliishia kulekule kwa mpenda sifa wa Chato.
Sio kwamba hataki Ila anaogopa 2025 huyo waziri machachari asije akamzidi ushawishi
Kama atabahatika kutoboa 2025 hapo ndipo mawaziri watapewa Uhuru wa kuonyesha machachari yao kwa kuwa atakuwa hagombei tena
 
Awamu ya tano umemsahau Luhaga Mpina alichoma nyavu za wavuvi na kupima hadi samaki wa rula
 
Mbona Corona tulipima hadi mapapai, yale hayakuwa majaribio ya maigizo?
 
Yupo Musukuma na Kibajaji
 
Awamu ya sita aliwakemea muda sana kuwa hapendi wawe na maneno mengi. Bali waendelee kula kwa urefu wa kamab zao tu basiiii

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Dereva mwenyewe haeleweki, itakuwa hao wasaidizi.
Kazi yao huwa ni kumsifia tu ilimradi mitumbo yao ijae ndii, mfano Nape.
 
Aliyeko juu yao ni zoba
 
Wanakula kwa urefu wa kamba zao, sasa wapige kelele za nini wana tafuna tu kama mbuzi muda wa usiku wanakula msosi wa mchana alioficha huko ndani.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…