Kwanini AY anakwenda kutambulisha wimbo mpya clouds fm sio wasafi?

Wasafi nadhani vipindi havijaanza maana ni ngoma tu kwenda mbele
 
Sasa unaenda vipi kutambulisha wimbo kwenye kituo ambacho ndo kwanza kipo kwenye majaribio na hata kurusha vipindi haijaanza?!
 
Kwa mfano wewe ndio ungekua AY... Ni mfano tu, Ungeenda Wasafi Au Clouds? Binafsi ningeenda clouds.. Sihitaji hata kufikiria it is so obvious.

Mambo mengine yako wazi mno jamani tuacheni hizi sijui team na hate!
Kalale unaumwa mkojo
 
Audio clouds
Video EATV
Ndio mgawanyo ulivyo!
 
Wasafi inasikia dar tu wakati clouds inasikika karibia Tanzania nzima,kutambulisha nyimbo wasafi haima tofauti na kuchukua ki carry na kupiga PA mitaa yote ya dar.
 
Kwani clouds media na wasafi kina tofauti?
Wakati mmiliki ni mmoja.
ACHENI KUTUCHEZEA AKILI NA MAMBO YENU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…