King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wasafi ndio nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka nimjibu hivyohivyoStation inayoshika mkoa mmoja tu utafananisha na station kongwe inayopasua mawimbi kila kona ya Tz? kua serious kijana.
Kalale unaumwa mkojoKwa mfano wewe ndio ungekua AY... Ni mfano tu, Ungeenda Wasafi Au Clouds? Binafsi ningeenda clouds.. Sihitaji hata kufikiria it is so obvious.
Mambo mengine yako wazi mno jamani tuacheni hizi sijui team na hate!
Usifananishe wasafi na vitu vya kijingaStation inayoshika mkoa mmoja tu utafananisha na station kongwe inayopasua mawimbi kila kona ya Tz? kua serious kijana.
Pathetic foolUsifananishe wasafi na vitu vya kijinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasafi FM haijaanza kurusha matangazo, huo utambulisho wa wimbo wake angeufanya kama bubu!
Ni mipango tu,atafika kote huko ndio maana ya media tour bwana sudiNi wimbo mpya wa safari najiuliza kwanini hajaenda wasafi wakati meneja wa AY ni mwarabu aliyezamia Tanzania Sallam