A
Vinywaji kwa watu maalum, ila ni hatari sana kwa usalama.Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa.
Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa hii kushughulikia suala hili kwa kuweka taarifa sahihi na wazi kwenye vifungashio. Watumiaji wana haki ya kujua kiwango cha caffeine wanachotumia ili waweze kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya na matumizi yao ya kila siku.
Uwekaji wa taarifa hizi utasaidia kuongeza uwazi, kulinda afya za watumiaji, na kuhakikisha bidhaa zinakidhi viwango vinavyotakiwa vya utoaji wa taarifa kwa umma.
Hii nimeshuhudia mpaka watoto na wamama wajawazito wanakunywa tena siku hizi hawaziiti energy kuna majina ya mtaa ndio wanaziita sijui majina gani ila ni code name nilimsikia mmoja anamuagiza mwenye duka baadae ndio nikajua kumbe ameagiza energy na ukimuangalia ni mjamzito ukiuliza anakunywa nani unaambiwa anakunywa yeye na mtoto alie tumboni km hujui huwezi kuelewaUwekaji wa taarifa hizi utasaidia kuongeza uwazi, kulinda afya za watumiaji, na kuhakikisha bidhaa zinakidhi viwango vinavyotakiwa vya utoaji wa taarifa kwa umma.
Hatari sana.Hii nimeshuhudia mpaka watoto na wamama wajawazito wanakunywa tena siku hizi hawaziiti energy kuna majina ya mtaa ndio wanaziita sijui majina gani ila ni code name nilimsikia mmoja anamuagiza mwenye duka baadae ndio nikajua kumbe ameagiza energy na ukimuangalia ni mjamzito ukiuliza anakunywa nani unaambiwa anakunywa yeye na mtoto alie tumboni km hujui huwezi kuelewa
Mkuu, guarana ni central nervous system stimulant ina caffeine pia ambayo inasanabisha uraibu ukitumia kwa muda mrefu unakuwa tegemezi.Kwanza siku hizi hawaweki caffeine wanatumia guarana extract ambayo kiasi ni salama kuliko pure caffeine
Shida ni uraibu au shida ni madhira by the way guarana ni weak kuliko pure caffeine kwa sababu caffeine yake inakua release taratibu sana kuliko pure caffeine hivyo ni salama kiasiMkuu, guarana ni central nervous system stimulant ina caffeine pia ambayo inasanabisha uraibu ukitumia kwa muda mrefu unakuwa tegemezi.
Caffeine ni CNS stimulant kwa hiyo inasababisha uraibu kama ikiwa abused. Substances of active ingredient kuwa released taratibu haina maana ni salama.Shida ni uraibu au shida ni madhira by the way guarana ni weak kuliko pure caffeine kwa sababu caffeine yake inakua release taratibu sana kuliko pure caffeine hivyo ni salama kiasi
waweke au wasiweke, kitendo tu cha kuamua kunywa hayo matakataka ni upuuzi wa hali ya juuu.Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa.
Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa hii kushughulikia suala hili kwa kuweka taarifa sahihi na wazi kwenye vifungashio. Watumiaji wana haki ya kujua kiwango cha caffeine wanachotumia ili waweze kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya na matumizi yao ya kila siku.
Uwekaji wa taarifa hizi utasaidia kuongeza uwazi, kulinda afya za watumiaji, na kuhakikisha bidhaa zinakidhi viwango vinavyotakiwa vya utoaji wa taarifa kwa umma.
kuna vitu vinawafaa watu au haviwadhuru watu kama inavyotazamiwa kutokana na mifumo yao ya maisha.Hivyo vinywaji mnanyweshwa nyie,wenyeww hata hawazigusi
Vinywaji pendwa wa bodaboda mixer visungura
Ova
Binafsi tangu waanze kutumia guarana uraibu wangu kinywaji hicho umepotea hivyo kwa kiasi fulani ni hatua nzuri kwaoCaffeine ni CNS stimulant kwa hiyo inasababisha uraibu kama ikiwa abused. Substances of active ingredient kuwa released taratibu haina maana ni salama.
Aidha ni pure au vinginevyo ni kwamba caffeine ina madhara kwa afya kuliko faida.
Hata wakiweka wazi Hiko kiwango Cha caffeine nani anayejali kusoma maelezo watu wanazinywa sana kwasababu ya uraibuNingependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa.