Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajasema mwongo huyoHakuna sehemu uliyosema wanaonyesha game moja kwenye hii post niliyoiqoute
Azam katarget soko lake sio lazima kila mmoja nchi hii atumie king'amuzi cha azamAzam TV si king'amuzi cha watu smart.. Azam TV ni king'amuzi cha kundi la watu fulani ambao ndio wengi kuliko wale smart..
matangazo wanayoweka wanaweka na channel itakayoonesha kila mechi. kwahiyo muda wa mechi ukifika hakuna mechi unataka tufanyeje boss!?Sidhani kama ni wapuuzi kiasi hicho waitangazie dunia kuwa wataonyesha hizi mechi wakati hawaonyeshi. Wengi huenda tunategemea wakitoa tangazo kama hilo basi mechi utaikuta Azam Sports channels. Je mnaolalamika mmejaribu kuangalia channel zingine mule kama ZBC 2 na regional channels nyingine kama za Uganda, Kenya nk? Hata startimes wanaonyesha mechi za Yanga na makolo michuano ya Afrika ila sio kwa channel za michezo za Startimes ila mechi unaikuta TV3 kwahiyo kama sio mfuatiliaji unaweza kuikosa mechi na kuoshia kuwalaumu watu waliokuzidi kila kitu kama kina Bakhresa.
To me: startimes king'amuzi cha ovyo kuliko azamuAzam katarget soko lake sio lazima kila mmoja nchi hii atumie king'amuzi cha azam
Azam ni king'amuzi namba mbili nyuma ya startimes kuwa na active users wengi kwa umri wake katika soko ni wazi wanafanya vizuri sana ukilinganisha na ving'amuzi vingi vikongwe nchini
Mtu smart anajua anachokitaka hivyo huwezi nunua azam ukitegemea contents za dstv
Rejea nilivyoeleza awali kuwa Startimes wanaonesha EPL Jmosi na huwa ni mechi 1 tu, kweli umeshindwa kunielewa hoja nyepesi namna hiyo? Basi TZ tuna safari ndefu sana kufikia nchi ya asali na maziwa.
Rejea nilivyoeleza awali kuwa Startimes wanaonesha EPL Jmosi na huwa ni mechi 1 tu, kweli umeshindwa kunielewa hoja nyepesi namna hiyo? Basi TZ tuna safari ndefu sana kufikia nchi ya asali na maziwa.