Mnaojua kiswahili mtasahihisha kichwa cha habari. Mwaka 2020 katika mashindano ya shirikisho Simba iliyokuwa ya moto ikitembeza pira biriani iliwapa vipigo Azam Fc 4-0 na Yanga 4-1.
Cha ajabu mechi ya yanga wameiacha ila mechi yao waliyobamizwa wameiondoa hii inamaanisha nini ina maana wanataka kubisha hawajawahi kupokea kipigo cha aibu.
Naomba member yoyote wa jamiiforums kama anayo aniwekee kwani hiyo mechi Fraga aliwapoteza wachezaji hadi makocha..
Mwisho Azam waache ushamba.