Kwanini baaadhi ya koo hujifananisha na wanyama?

Ben-adam

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2023
Posts
1,043
Reaction score
2,309
Sisi watoto wa mjini kuna mengi hatuyajui, mnaoelewa mtumegee na sisi.

IMG_20231119_102330.jpg

Wengine hujifananisha na mbwa, wengine chui, wengine ng'ombe wa aina fulani.

Na kuna masharti juu ya wanyama hao ambayo wahusika wanatakiwa kuyafuata, wanapokiuka hupata madhara makubwa!

Mfano kuna jamaa namfahamu, mwili wake una mabaka mabaka meupe Familia yake wanadai alivunja miiko ya ukoo wake (kama hayo niliyosema hapo juu)

Je, ni nini chanzo chake?
 
Sisi watoto wa mjini kuna mengi hatuyajui, mnaoelewa mtumegee na sisi.

View attachment 2818502
Wengine hujifananisha na mbwa, wengine chui, wengine ng'ombe wa aina fulani.

Na kuna masharti juu ya wanyama hao ambayo wahusika wanatakiwa kuyafuata, wanapokiuka hupata madhara makubwa!

Mfano kuna jamaa namfahamu, mwili wake una mabaka mabaka meupe Familia yake wanadai alivunja miiko ya ukoo wake (kama hayo niliyosema hapo juu)

Je, ni nini chanzo chake?
Kuna kundi kubwa la wana JF hawatakuelewa. Ila haya mambo yapo sana.
 
Back
Top Bottom