Kwanini baadhi ya course za vyuo vya serikali hazitambuliki na mfumo wa utumishi serikalini?

Kwanini baadhi ya course za vyuo vya serikali hazitambuliki na mfumo wa utumishi serikalini?

BintiTee

New Member
Joined
Mar 3, 2022
Posts
3
Reaction score
1
Habari wana Jf,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu!nimekuwa na mshangao mkubwa kuona baadhi ya course tena za Bachelors kwenye baadhi ya vyuo vya serikali hazitambuliki kwenye mfumo wa ajira wa utumishi na kusababisha baadhi ya graduates kukosa haki yao ya msingi hata ya kufanya maombi endapo nafasi zinatangazwa.

Hivi inakuwaje jopo la watu wasomi wanakaa na kuunda course isiyokuwa na soko au hawajui inatakiwa kufiti wizara gani au baada ya mtu kusomea hicho kitu hawajui atatakiwa kutoa huduma gani,je wewe ulishawahi kusikia hizi course?
 
Back
Top Bottom