Wananzengo kama jina la uzi wetu unavyojieleza hapo juu.
Geographia ya mkoa wa Pwani kuingiliana na mkoa wa Dar es salaam, pia kutanuka kwa miji na uwingi wa watu. Hii imepelekea baadhi ya maeneo ya mkoa wa pwani yaliyo karibu na mkoa wa Dsm kukua kwa haraka.
Changamoto inatokea pale mtu anataka hudumu ya msingi,mfano mtu amejenga nyuma ya Mwembe mtengu-Toangoma wilaya ya Temeke.Hili eneo ukitembea mita 10 kutoka barabara ya Toangoam-Kigamboni unakuwa uko mkoa wa Pwani wilaya ya Mkuranga.Hapa ukitaka huduma ya kimkoa inabidi uende Kibaha
Chukulia mfano mtu yuko pale St-Mathew Kongowe huyu mtu yuko mkoa wa Pwani,ili apate huduma ya kimkoa inabidi aende Kibaha.
Hawa watu wa haya maeneo hata ukisema mtu atoke city-center anaenda mfano Vikindu na mwingine Chanika ,huyu wa Vikindu anafika kabla ya mtu wa Chanika
Huu mkoa hasa wilaya ya Mkuranga ushauri ilitakiwa uanze kuanzia Kisemvule kwenda mbele huko au wilaya ya Temeke igawanywe ipatikane wilaya ya Mbagala itakayokuwa na kata za Vikindu, Kisemvule, Mlamleni, Toangoma, Chamazi na Kata ya Mbagala.
Hayo maeneo maendeleo yamekuwa kwa kasi ila huduma za msingi kama zahani ,vituo vya afya polisi ni vichache na baadhi ya sehemu hakuna kabisa.
Kusogeza haya maeneo itakuwa chachu ya maendeleo