Nawakumbusha tu, hakuna kata ya Mlamleni ila Kuna kata ya Tambani.
Mlamleni, Ruzando, Mipeko, Tambani,Mwanadilatu, Mkoga, videte na kimbangulile ni vitongoji tu. Ila kweli Kuna Kasi kubwa ya kujengeka na ongezeko la idadi kubwa ya watu.
Turudi kama zamani Dar es salaam ni mjini/jiji ila mkoa uwe pwani au tuanzishe metropolitan city litakalo jumuisha wilaya zote, huku kibiti, Rufiji tukizipeleka kwenye mkoa mpya wa kilwa, chalinze tukizipeleka Morogoro
Wilaya ya mbagala ifike mpaka Mwanambaya na sio kuishia kisemvule.