Kwanini baadhi ya media za Tanzania hawampendi msanii Diamond?

ANAZO NYINGI HIO SIO HABARI.NGOJA KIBA AKIPATA MOJA TUZO YA TIGO FIESTA TUTANGAZA
 
Utashangaa akifa hizo media zitavyojifanya zmeumizwa na kifo chake. Bongo unafiki ni jadi achilia tu wivu na roho za kwanini!
 
Team Diamond ndio umetumwa kuja kutushawishi humu? Kuna wengine humu niwapenzi wa nyimbo za injiri sio hivyo viduku vyenu
 
hawa wa nitarejea akutana na wachungaji wapiga dili kwa kutumia jina la Mungu, wamuabisha na kumdhalilisha
 
Wanataka aanguke,lakini hivi mnadhani is there anywhere to fall down?? Sijui but anazidi kutusua...ukitaka kam search katika list ya watu alio wa follow dj khaleed na Rick Rossy...
Lkn kisaikolojia hata yeye mwenyewe linamuumiza sana hasemi tu....Tanzania ukichukia na media hizi tatu tu kazi unayo 1)clouds media 2) mange Kimambi media na chadema media wallah unaweza kuwa supa star ukanya barabarani wasiandike habari zako....kinachomponza dai kuchukiwa kinasababishwa na mambo mengi sana yaliyomzunguruka na kubwa kuliko yote itikadi yake kisiasa...hata mm pasipo kupindisha mdomo dai namchukia sana japo ni mwanamuziki mzuri saaaaana (itikadi kisiasa) na kama leo hii dai akawa kama roma haki wanamuziki wote wa aina yake wanapotea...
 
Watz weng hawapendi mafanikio ya mtu
 
Tunachoangalia ni kazi maisha yake binafsi yanatuhusu nini? Mbona kuna wazinzi zaidi yake hawasikiki?
Unapokuwa umefikia standard ya Diamond kimataifa unakuwa kioo cha jamii. Makampuni mengi yatapenda kutumia jina lako kwa biashara lakini unapofanya masuala ya Uzinifu unajiaribia jina.
Nenda usome historia ya Tiger Woods aliyekuwa mcheza Tennis bora duniani.
 
Sijui ni mawazo gani haya, yaani unafikia kusema unamchukia mtu kisa haki yake kikatiba? Na ww watu wakuchukie kisa kuipenda chadema? Bishaneni kwa hoja na sio chuki na visasi
 
hii mpya nayo kwa iyo hao wawili wakikufollow ndio wazidi kutusua mweeee
Jionee mpya ndio anazidi kutusua,nilisahau na swizz beatz pia anamfollow.
Sio tu kuwa ana followers lakini angalia influence na reputation anayojitengenezea. alianza mmoja sasa hivi watatu na wengine watafata,Endeleeni kusherehekea mkiwa followed na juma makabila na msaga sumu.
 
Sasa jaman mtu ku befollowed ni jambo.la ajabu mpka sasa linaongelewa duuuh.
Huyo diamond tu akiku follow utaona utakavyo shoboka. It is not a matter of kuwa followes tu,a matter of reputation na conectivity anayoipata. Nenda ka comment page ya swizz beatz kama ataku reply mean while kuna mTz mwenzio kam follow.
 
Kibongo haina effect siyo big deal maana wanasiasa wenyewe wazinifu na bado wanapata nafasi za juu.
Niambie star gani ambaye kibongo yuko juu saana ambaye hana scandal?
Watanzania wanapenda mafanikio ila hawapendi waliofanikiwa.
Kama suala ni itikadi wasanii wengi tu waliipigia debe ccm na kama watu mnataka demokrasia, mnataka serikali ambayo haikandamizi watu ma vyama vingine basi hiyo ianzie nyumbani msichukie watu wengine kiwa ccm maana ndiyo demokrasia hiyo.
Sasa mnasema serikali ya ccm inaminya demokrasia kwa kuwafungia wapinzani wakati huo huo mnawatukana na kuwachukia walio upande wa ccm mnakuwa na tofauti gani na hao ccm wasiyojali uhuri wa demokrasia?
 
Katika proff yangu tunasema lobbying,anajaribu kumake good relation na walioko madaraka ili iweze kum favor kwa lolote and he won that,nampongeza sana. But on other side of coin,ameharibu kwa kuignia sehemu ambayo watu wengi wanaichukia..
 
Huyo diamond tu akiku follow utaona utakavyo shoboka. It is not a matter of kuwa followes tu,a matter of reputation na conectivity anayoipata. Nenda ka comment page ya swizz beatz kama ataku reply mean while kuna mTz mwenzio kam follow.
Mbona mi millardy Ayo huwa ana reply kwangu
Hahahaha....!
 
Niliwasikia macho matatu kupitia joto la asubuhi wakimpongeza................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…