kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
ANAZO NYINGI HIO SIO HABARI.NGOJA KIBA AKIPATA MOJA TUZO YA TIGO FIESTA TUTANGAZA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn kisaikolojia hata yeye mwenyewe linamuumiza sana hasemi tu....Tanzania ukichukia na media hizi tatu tu kazi unayo 1)clouds media 2) mange Kimambi media na chadema media wallah unaweza kuwa supa star ukanya barabarani wasiandike habari zako....kinachomponza dai kuchukiwa kinasababishwa na mambo mengi sana yaliyomzunguruka na kubwa kuliko yote itikadi yake kisiasa...hata mm pasipo kupindisha mdomo dai namchukia sana japo ni mwanamuziki mzuri saaaaana (itikadi kisiasa) na kama leo hii dai akawa kama roma haki wanamuziki wote wa aina yake wanapotea...Wanataka aanguke,lakini hivi mnadhani is there anywhere to fall down?? Sijui but anazidi kutusua...ukitaka kam search katika list ya watu alio wa follow dj khaleed na Rick Rossy...
[emoji115] [emoji115] hiko ndo chanzo kikuu has a chakuchukiwaKwasababu ni ccm
Swissme
Unapokuwa umefikia standard ya Diamond kimataifa unakuwa kioo cha jamii. Makampuni mengi yatapenda kutumia jina lako kwa biashara lakini unapofanya masuala ya Uzinifu unajiaribia jina.Tunachoangalia ni kazi maisha yake binafsi yanatuhusu nini? Mbona kuna wazinzi zaidi yake hawasikiki?
Sijui ni mawazo gani haya, yaani unafikia kusema unamchukia mtu kisa haki yake kikatiba? Na ww watu wakuchukie kisa kuipenda chadema? Bishaneni kwa hoja na sio chuki na visasiLkn kisaikolojia hata yeye mwenyewe linamuumiza sana hasemi tu....Tanzania ukichukia na media hizi tatu tu kazi unayo 1)clouds media 2) mange Kimambi media na chadema media wallah unaweza kuwa supa star ukanya barabarani wasiandike habari zako....kinachomponza dai kuchukiwa kinasababishwa na mambo mengi sana yaliyomzunguruka na kubwa kuliko yote itikadi yake kisiasa...hata mm pasipo kupindisha mdomo dai namchukia sana japo ni mwanamuziki mzuri saaaaana (itikadi kisiasa) na kama leo hii dai akawa kama roma haki wanamuziki wote wa aina yake wanapotea...
Jionee mpya ndio anazidi kutusua,nilisahau na swizz beatz pia anamfollow.hii mpya nayo kwa iyo hao wawili wakikufollow ndio wazidi kutusua mweeee
Huyo diamond tu akiku follow utaona utakavyo shoboka. It is not a matter of kuwa followes tu,a matter of reputation na conectivity anayoipata. Nenda ka comment page ya swizz beatz kama ataku reply mean while kuna mTz mwenzio kam follow.Sasa jaman mtu ku befollowed ni jambo.la ajabu mpka sasa linaongelewa duuuh.
Kibongo haina effect siyo big deal maana wanasiasa wenyewe wazinifu na bado wanapata nafasi za juu.Unapokuwa umefikia standard ya Diamond kimataifa unakuwa kioo cha jamii. Makampuni mengi yatapenda kutumia jina lako kwa biashara lakini unapofanya masuala ya Uzinifu unajiaribia jina.
Nenda usome historia ya Tiger Woods aliyekuwa mcheza Tennis bora duniani.
Katika proff yangu tunasema lobbying,anajaribu kumake good relation na walioko madaraka ili iweze kum favor kwa lolote and he won that,nampongeza sana. But on other side of coin,ameharibu kwa kuignia sehemu ambayo watu wengi wanaichukia..Mase mom..Tatizo la huyu bwana anaonyesha rangi yake ya Ccm ndomaana watu hawampendi...
Jiulize kwanini Ze comedy show ilikufa baada ya kujikita na kampeni za Ccm2015......
Alafu jiulize kwanini Roma mkatoliki anapendwa na jamiii...TZ watu hawakipendi ccm,so mtu akijihusisha na kukipa promo hiko chama lazima na yeye aingizwe kundini,coz watu husema kuwa maisha haya magumu na mondi nae kachangia coz kipindi cha kampeni alisapport Ccmm..watz kununa kwao ni kuonyesha vitendo tu...
Ila dogo anajua,
Mark ma words Mase...asingronyesha u-ccm wake..angepata support kubwa sana hom...
Ila pale alipo hana furaha na tuzo,coz hom hawana habari nae wala nini...na usipokubalika hom bas wewe mafanikio yako ni ya Muda tu......kachagua upande mbaya japo chama Ni mapenzi ya mtu binafsi
Mbona mi millardy Ayo huwa ana reply kwanguHuyo diamond tu akiku follow utaona utakavyo shoboka. It is not a matter of kuwa followes tu,a matter of reputation na conectivity anayoipata. Nenda ka comment page ya swizz beatz kama ataku reply mean while kuna mTz mwenzio kam follow.
Millard ayo hujibu watu wengi. He is not a hot topic anyway.. It's diamond don't spoil the cake...Mbona mi millardy Ayo huwa ana reply kwangu
Hahahaha....!