hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Wakuu Habari za weekend
Nimeshangaa na kushangaa tena, nilipoambiwa kuwa kuna office za tra pale hotel ya Johari Rotana tena wamechukua flow mbili
Swali langu ni kwanini wakapange kwenye jengo la hotel ya mtu binafsi na wasipange kwenye majengo ya taasisi zingine za serikali kama TPA?
Pale mjini kuna majengo mengi yako wazi tena majengo ya taasisi za serikali
Mwenye uelewa na hili tadhari