Wakuu Habari za weekend
Nimeshangaa na kushangaa tena, nilipoambiwa kuwa kuna office za tra pale hotel ya Johari Rotana tena wamechukua flow mbili
Swali langu ni kwanini wakapange kwenye jengo la hotel ya mtu binafsi na wasipange kwenye majengo ya taasisi zingine za serikali kama TPA?
Pale mjini kuna majengo mengi yako wazi tena majengo ya taasisi za serikali
Mwenye uelewa na hili tadha
Dah hii mpya kwangu yaani serikali kuwa na shares sawa na mtu binafsi,ajabu sana hiiHawajapanga mkuu, lile jengo floor za chini ni za serikali na floor za juu ni za Johari Rotana. Wana partner ship kwa umiliki wa jengo, kwa hiyo floor za chini ni mali ya serikali.
Zingatia maokoto... Hiki ni kipindi cha kujipigia tu kwa kila Mwenyezi nafasiWakuu Habari za weekend
Nimeshangaa na kushangaa tena, nilipoambiwa kuwa kuna office za tra pale hotel ya Johari Rotana tena wamechukua flow mbili
Swali langu ni kwanini wakapange kwenye jengo la hotel ya mtu binafsi na wasipange kwenye majengo ya taasisi zingine za serikali kama TPA?
Pale mjini kuna majengo mengi yako wazi tena majengo ya taasisi za serikali
Mwenye uelewa na hili tadhari

Unajua Johari Rotana wamepanga kwa nani hayo majengo? Watanzania acheni upumbavu jifunzeni kutafuta maarifa.Wakuu Habari za weekend
Nimeshangaa na kushangaa tena, nilipoambiwa kuwa kuna office za tra pale hotel ya Johari Rotana tena wamechukua flow mbili
Swali langu ni kwanini wakapange kwenye jengo la hotel ya mtu binafsi na wasipange kwenye majengo ya taasisi zingine za serikali kama TPA?
Pale mjini kuna majengo mengi yako wazi tena majengo ya taasisi za serikali
Mwenye uelewa na hili tadhari
Taasisi ya Mwl Nyerere Foundation .....hata hao Johari wamepanga Nyerere Foundation ....didhani kama kosa ....Wakuu Habari za weekend
Nimeshangaa na kushangaa tena, nilipoambiwa kuwa kuna office za tra pale hotel ya Johari Rotana tena wamechukua flow mbili
Swali langu ni kwanini wakapange kwenye jengo la hotel ya mtu binafsi na wasipange kwenye majengo ya taasisi zingine za serikali kama TPA?
Pale mjini kuna majengo mengi yako wazi tena majengo ya taasisi za serikali
Mwenye uelewa na hili tadhari
10%Wakuu Habari za weekend

Hawajapanga mkuu, lile jengo floor za chini ni za serikali na floor za juu ni za Johari Rotana. Wana partner ship kwa umiliki wa jengo, kwa hiyo floor za chini ni mali ya serikali.
Tuendelee kidogo kudadavua mambo. Taasisi ya mwalimu Nyerere ni ya serikali au ni ya kikundi cha watu ili kutafutia maokoto?Taasisi ya Mwl Nyerere Foundation .....hata hao Johari wamepanga Nyerere Foundation ....didhani kama kosa ....
Ina ubia na serikali JMTTuendelee kidogo kudadavua mambo. Taasisi ya mwalimu Nyerere ni ya serikali au ni ya kikundi cha watu ili kutafutia maokoto?