Kwanini Baadhi ya Office za TRA zipo Johari Rotana?

Lile jengo ni la serikali lilijengwa na Museven kwa heshima ya mwl Nyerere, walikabidhiwa taasisi ya mwalimu nyerere foundation (MNF)chini ya comred mzee butiku ili kuisaidia kutunisha mapato ya taassi.

Kwahiyo hao rotana wamepanga jengo la MNF na kama TRA wamepanga basi mapato yanaenda MNF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…