Kwanini baadhi ya vijiji na kata mkoani Morogoro havina maji?

Tokea Uhuru Hadi leo upatikanaji wa maji salama vijijini Ni Changamoto... Inasikitisha sn
 
Kwasababu vilikuwa Upinzani
 
Unauhakika gani mile ulichokiona ni tope na si uji wa ulezi, ulijaribu kukigusa kikombe hapo kwenye runinga yako uone kama ni cha moto au cha baridi?
Siku moja hivyo hivyo kuna mtu alikuwa anakunywa kisimani tukadhani ni maji yenye tope kumbe ilikuwa chai ya maziwa! Haiwezekani miaka yote hiyo baada ya Uhuru muisingizie serikali yetu pendwa.
 
Hivi kambi ya jeshi na shule yetu pale miradi yao inashindikana kupanuliwa kuwafikia maeneo jirani.
 
Usijali shida ilikuwa magunzi,wapinzani walichelewesha sana ma betri yameingia sasa itakuwa neema tupu
 
MAJI
Kwangu ni tatizo la taifa zima
Nikiangalia haya maji ya chupa vile mauzauza yake
Naishiwagwa nguvu tu ya kulitolea ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…