Busara ni kukata watu vichwa ?TEC hawana uadilifu wanazungumzia maandamano kama yalikuwa ya Amani wakati yalikuwa na malengo ovu mengi pamoja na kufanyika uhuni wakutisha kutoka kwa Waandamanaji.
TEC makosa ya Waandamanaji wanayapuuza.
Masheik wanatumia busara huwezi kwenye moto unachochea Kuni moto uwake madhara yake ni makubwa mno.
Polisi wametumia nguvu kubwa halina ubishi na serikali imesema inafanya uchunguzi hapo haina haja ya kuchochea moto tena wakati hata taarifa Yao ya uchunguzi bado haijatoka
Kesi ya Dullah unampelekea Abdallahserikali imesema inafanya uchunguzi
Kukatwa kichwa kivipi fafanua ?Busara ni kukata watu vichwa ?
Hivi wapalestina wanapaswa kupambana na uovu wa Israel na kudai haki ya taifa lao au wakae kimya na kuunga udhalimu wa Israel unaotendwa dhidi yao ?
Hakuna ubaya , hata Israel hawataki independent investigation IDF wana vitengo vyao vya upelelezi hawajawahi Kukubali independent investigations kuhusu yaliyotokea Gaza.Kesi ya Dullah unampelekea Abdallah
Ni kwa sababu kuu tano.Wakuu kwanza naanza kwa kudeclare kweli mimi ni mkristu na ninaabaudu na kusadiki kanisa Takatifu katoliki la Mitume
Toka uchaguzo umeanza umeisha yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wote tumeona na kwa namna moja ama nyingine tunaona tumeguswa kila namna hata kama sio ya moja kwa moja!!
Hivi hili suala limekuwa linanitatiza sana hasa karibia katia Platforms zote huko mitandaoni na baadhi ya Watu ninaokutana nao mtaan
Ikumbukwe eneo ninaloishi kuna jamii kubwa sana ya hawa ndugu zetu wa Ijumaa.
Kwanini hawa watu wamekuwa wakilaani sana maandamano kupinga kwa nguvu zote, kukosoa na kupinga matamko yote yanayotolewa na TEC baadhi ya Taasisi za kikristu na Asasi mbalimbali hasa pale wanapokuwa wakipinga na kuikosoa GvT, hawa watu wamwkuwa wakichukua nafasi ya kuilinda na kuitetea GvT!?
Mfano mwepesi tuliona juzi hapa TEC walitoa waraka wao ila walijitokeza Masheikh, Maostaadhi, Maimamu na Maamuma zaidi ya 565 kupinga kwa nguvu zote huo waraka!?
Leo ukiingia mitandao ya kijamii kusoma kusikiliza ama kutizama maoni binafsi ya Fr Kitima wanaokosoa kupinga na kuja na hoja kinzani kwa maoni yake wengi kama sio wote ni jamii ya ijumaa kipi kipo nyuma ya hili
Unataka iwe hivyo na Tanzania?Hakuna ubaya , hata Israel hawataki independent investigation IDF wana vitengo vyao vya upelelezi hawajawahi Kukubali independent investigations kuhusu yaliyotokea Gaza.
Ndio , hakuna ubaya juu ya hilo.Unataka iwe hivyo na Tanzania?
Kuna kitu nahisi mashehe hawataki kukiaddress na hapa ndipo kila mwenye uelewa anaona mashehe wana changamoto za kuendeshwa na hisia.TEC hawana uadilifu wanazungumzia maandamano kama yalikuwa ya Amani wakati yalikuwa na malengo ovu mengi pamoja na kufanyika uhuni wakutisha kutoka kwa Waandamanaji.
TEC makosa ya Waandamanaji wanayapuuza.
Masheik wanatumia busara huwezi kwenye moto unachochea Kuni moto uwake madhara yake ni makubwa mno.
Polisi wametumia nguvu kubwa halina ubishi na serikali imesema inafanya uchunguzi hapo haina haja ya kuchochea moto tena wakati hata taarifa Yao ya uchunguzi bado haijatoka
Means unazopendekeza zinafanya kazi vizuri kama wote mna lengo moja la kufikia muafaka.Kukatwa kichwa kivipi fafanua ?
Mimi muumini wa njia inayotumika na sio kupigana kihuni , WaPalestina na watu wengine wote wanastahili kudai haki yao wanapofanyiwa dhuluma ila ;
1. Kwenye kudai haki yako usivunje haki ya mwengine
2. Kwenye kudai haki yako usimdhulumu mwengine
3. Kwenye kudai haki yako usidai kihuni kwa Fujo na vurugu. Tukisema kila mtu alinyimwa haki yake afanye maandamano na achome miundombinu patakalika ? Na Waislamu wakinyimwa haki zao waingie front na mapanga kudai kinguvu patakalika ?
Unajua kwa Nini nipo against Hamas since day one wakati ni WaPalestina wenzangu na wananyanyaswa ? Sababu ni Moja njia wanayotumia kudai haki wanadhulumu haki za wengine kwa kuua na kufanya mauaji na kufanya uharibifu.View attachment 3510267
Kwa hiyo unaona Bora njia ya machafuko tuwe kama Sudani au Somalia ?Means unazopendekeza zinafanya kazi vizuri kama wote mna lengo moja la kufikia muafaka.
Hapa Tanzania kuna watu walionekana kupambania haki kwa njia ya kuridhiana, Lipumba na Mbowe, na hakuna aliyefanikiwa. Badala yake yaliyosababisha watafute maridhiano hayakuwahi kukoma.
Huwezi rudia suluhu ileile, kwa tatizo lilelile ukatarajia matokeo tofauti.
Kama unauliza maoni yangu binafsi ni kwamba kwenye society formation violence haikwepeki inapotokea kunakua hakuna usawa. Kwahiyo hili siyo swala la maoni ya mtu mmoja mmoja ni swala la kwamba violence itatokea tu.Kwa hiyo unaona Bora njia ya machafuko tuwe kama Sudani au Somalia ?
Mimi nilikuwepo kwenye grupu kubwa la maandamano nilivyoona yanapangwa mule ni mazito yaani Fujo na uharibifu wa Mali za Umma , sasa hizo ndio njia mbadala ?
Si kweli unahitajika uchunguzi huru wa kimataifa.Ndio , hakuna ubaya juu ya hilo.
Kwahiyo wapalestina wanakosea wanapodai haki zao kwa kuvunja haki za wengineKukatwa kichwa kivipi fafanua ?
Mimi muumini wa njia inayotumika na sio kupigana kihuni , WaPalestina na watu wengine wote wanastahili kudai haki yao wanapofanyiwa dhuluma ila ;
1. Kwenye kudai haki yako usivunje haki ya mwengine
2. Kwenye kudai haki yako usimdhulumu mwengine
3. Kwenye kudai haki yako usidai kihuni kwa Fujo na vurugu. Tukisema kila mtu alinyimwa haki yake afanye maandamano na achome miundombinu patakalika ? Na Waislamu wakinyimwa haki zao waingie front na mapanga kudai kinguvu patakalika ?
Unajua kwa Nini nipo against Hamas since day one wakati ni WaPalestina wenzangu na wananyanyaswa ? Sababu ni Moja njia wanayotumia kudai haki wanadhulumu haki za wengine kwa kuua na kufanya mauaji na kufanya uharibifu.View attachment 3510267
Ndio , wanafeli kabisa .Kwahiyo wapalestina wanakosea wanapodai haki zao kwa kuvunja haki za wengine