Kwanini baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu wanapinga matamko ya TEC na kuunga mkono Serikali?

Kwanini baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu wanapinga matamko ya TEC na kuunga mkono Serikali?

Wakuu kwanza naanza kwa kudeclare kweli mimi ni mkristu na ninaabaudu na kusadiki kanisa Takatifu katoliki la Mitume

Toka uchaguzo umeanza umeisha yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wote tumeona na kwa namna moja ama nyingine tunaona tumeguswa kila namna hata kama sio ya moja kwa moja!!

Hivi hili suala limekuwa linanitatiza sana hasa karibia katia Platforms zote huko mitandaoni na baadhi ya Watu ninaokutana nao mtaan

Ikumbukwe eneo ninaloishi kuna jamii kubwa sana ya hawa ndugu zetu wa Ijumaa.

Kwanini hawa watu wamekuwa wakilaani sana maandamano kupinga kwa nguvu zote, kukosoa na kupinga matamko yote yanayotolewa na TEC baadhi ya Taasisi za kikristu na Asasi mbalimbali hasa pale wanapokuwa wakipinga na kuikosoa GvT, hawa watu wamwkuwa wakichukua nafasi ya kuilinda na kuitetea GvT!?

Mfano mwepesi tuliona juzi hapa TEC walitoa waraka wao ila walijitokeza Masheikh, Maostaadhi, Maimamu na Maamuma zaidi ya 565 kupinga kwa nguvu zote huo waraka!?

Leo ukiingia mitandao ya kijamii kusoma kusikiliza ama kutizama maoni binafsi ya Fr Kitima wanaokosoa kupinga na kuja na hoja kinzani kwa maoni yake wengi kama sio wote ni jamii ya ijumaa kipi kipo nyuma ya hili
-Elimu. Chunguza viwango vya elimu vya hao maaskofu na mashehe.

-Ustahimilivu wa tofauti za kiimani. Chunguza jamii/nchi ambazo zina population kubwa ya wakristo fuatilia jinsi wanavyoishi na kuwa-treat waislamu, halafu chunguza jamii/nchi ambazo kuna population kubwa ya waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa-treat wakristo. Utaona tofauti

-Ustaarabu. Chunguza kiwango cha kustaarabika kwenye maeneo ambayo kuna population ya waislamu na ambapo kuna population ya wakristo. Utapata jibu.
 
TEC hawana uadilifu wanazungumzia maandamano kama yalikuwa ya Amani wakati yalikuwa na malengo ovu mengi pamoja na kufanyika uhuni wakutisha kutoka kwa Waandamanaji.

TEC makosa ya Waandamanaji wanayapuuza.

Masheik wanatumia busara huwezi kwenye moto unachochea Kuni moto uwake madhara yake ni makubwa mno.

Polisi wametumia nguvu kubwa halina ubishi na serikali imesema inafanya uchunguzi hapo haina haja ya kuchochea moto tena wakati hata taarifa Yao ya uchunguzi bado haijatoka
Nani anaefanya uchunguzi?
 
Upo sahihi mkuu, Uchunguzi wanini hao Polisi wanafanya wakati wao ndio wahusika namba moja yaan wewe unaweza vipi jitathimin tabia zako za hovyo na kujitolea maamuzi!? TEC wanamaslahi yapi na hiki Taifa hadi wawe na nia ovu na Serikali iliyopo madarakani na sio zilizopita!?
 
Ni kwa sababu kuu tano.
Mosi, uchawa,
Pili, uchumia tumbo,
Tatu, uzwazwa,
Nne, unafiki,
Na mwisho, wivu wa kike mbali na ushetani utokanao na imani yao iliiyowajengea kutojiamini na kupenda kujieliimisha ukiachia mbali ubaguzi baada ya kubaguliwa sana na mabwana zao wa kiarabu.
Lugha zako kali sana mkuu wangu, Hapo juu kuna mtu anadai TEC sio waadilifu ningependa angekuja na njia sahihi nini kifanyike

Maana kama uhuni wa GvT wote tunaouna na kuusikia utekaji, Wizi, upendeleo uporaji wa uchaguzi bado tu anataka tutumie njia ipi ambayo anaona waandamanaji wnaakosea
 
Ndio , hakuna ubaya juu ya hilo.
Yaan wale wahuni waliokuwa wanahakikisha kama sio kisogo badi ni Moyo wakakae Mafwele na Wambura wajichunguze mkuu!?

Haya tumekubali wewe toka unepata akili Timamu unaweza niambia ni TuMe ipi imewahi kuundwa na ikatoa report na hiyo report ikawa wazi na tukaona actions ya hiyo report
 
Kuna kitu nahisi mashehe hawataki kukiaddress na hapa ndipo kila mwenye uelewa anaona mashehe wana changamoto za kuendeshwa na hisia.

Kwenye ishu yoyote ikatokea uhai umepotea nafikiri ni busara kuaddress swala la uhai kuliko kufikiria pikipiki. Mashehe focus kubwa imekua kwa pikipiki.

Mashehe ama kwa makusudi au kwa kutokua na uelewa wakasema TEC hawajawahi kukosoa marais wakristo. Kwakua siku hizi mitandao imesambaa ukigoogle unakuta matamko ya kumkosoa Mkapa na Magufuli.

Mashehe wanaona ni sawa amani ikitawala hata kama ni kwa njia ya kukata vichwa na kukandamiza watu. Kikubwa amani inaonekana ipo, ndugu yako wa karibu akinyimwa haki ya kuishi mashehe wanaona hakuna tatizo ukizika ukarudi nyumbani kulia kimya kimya.

BAhati mbaya siku hizi uasi umejaa, watu hawaguswi na dini wanaguswa na wanayoyaona. Hapa ndiyo changamoto ipo, kwakua hata kama TEC wangewaambia vijana wasiandamane wangetokea ambao wangecomment "Was3ng3 tuacheni"
Mwanangu umeshusha hoja kuntu sana
 
Lugha zako kali sana mkuu wangu, Hapo juu kuna mtu anadai TEC sio waadilifu ningependa angekuja na njia sahihi nini kifanyike

Maana kama uhuni wa GvT wote tunaouna na kuusikia utekaji, Wizi, upendeleo uporaji wa uchaguzi bado tu anataka tutumie njia ipi ambayo anaona waandamanaji wnaakosea
Hii ndiyo lugha inayopaswa kuielewa ili wauaji na mazandiki waielewe na kujua hatuna mchezo wala subira tena. So be it. Asante.
 
Mimi naunga mkono mapambano dhidi ya haki. Hata wakati wa utawala wa Magufuli, nilimpinga waziwazi humu kwa tabia yake udikteta uchwara dhidi ya wakosoaji wake! Lakini pia kwa kuwanyima watumishi wa umna stahiki zao kwa kisingizio cha kununua ndege!

Wakati namkosoa, sikuangalia ukatoliki wake! Ila niliangalia madhaifu yake. Vivyo hivyo kwa Rais wa sasa! Ninamkosoa kwa sababu ya tabia yake ya kukandamiza vyama vya upinzani (na hasa CHADEMA), kuruhusu matukio ya utekaji na mauaji kushamiri kwenye jamii yetu! Kurudia makosa ya mtangulizi wake kwenye suala zima la kufanya dhuluma ya wazi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024, na huu wa 2025!

Kwa hiyo kwenye hili nipo upande wa wapigania haki na wataka mabadiliko. Na siangalii dini ya mtu au jinsia yake! CCM ndiyo kansa kwenye hii nchi. Hivyo ili nchi isonge mbele, ni lazima ccm iondolewe madarakani kwa namna yoyote ile ikiwemo ya kutumia nguvu ya umma.
Chief umemaliza, Sijui kwann watu wanalenga zaidi Amani kuliko Haki, Inamaana kuna Amani au kuvumilia tu maana Amani Bila Haki naona ni uvumilivu tu

Huyu Mama ameenda mara 200 zaiid ya mtangulizi wake hadi tunashangaa kabisa Mwanmke wa namna gani!

Leo nimeshangaa anasema unalia nini wakati Hukumkanya mwanao asiandamane!
 
Masheikh wao hawaoni chochote cha kukosoa serikali wala kuishauri serikali ila wao wanapambana na ukosoaji uliyoelekezwa kwa serikali hasa matamko ya TEC, sijaelewa maana yake hasa ni nini?
Hawa ni wahuni sana kuna mtu alisema atakinukisha yupo Ukonga sasa ila kuna Raia mmoja yeye alisema atakata watu vichwa yupo tu anataka kuounguziwa na kodi za Tende
 
-Elimu. Chunguza viwango vya elimu vya hao maaskofu na mashehe.

-Ustahimilivu wa tofauti za kiimani. Chunguza jamii/nchi ambazo zina population kubwa ya wakristo fuatilia jinsi wanavyoishi na kuwa-treat waislamu, halafu chunguza jamii/nchi ambazo kuna population kubwa ya waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa-treat wakristo. Utaona tofauti

-Ustaarabu. Chunguza kiwango cha kustaarabika kwenye maeneo ambayo kuna population ya waislamu na ambapo kuna population ya wakristo. Utapata jibu.
Pamoja mkuu
 
Siyo baadhi, wote wanaunga mkono serikali kwasababu ndiyo inayowalipa ujira wao.

Anyekulisha ndiye bosi wako.

TEC wao wanasema kilichopo na kweli, na wanaiambia ccm.

Hawa masheikh wao wanajibu TEC kwa niaba ya ccm ya samuya.

Na wote mnafahamu mwenye mbwa akiwepo mbwa hubweka sana.
 
Cha kustahajabisha hao mashekh na waislamu wengine wa aina yao wanachoumizwa nacho ni idadi ya matamko yanayotolewa na TEC awamu hii kulinganisha na awamu iliyopita basi.

Yaani wao wanaona samuya anaonewa sana na TEC wanavyotoa matamko mfululizo kukemea maovu ya serikali yake.

Akilini mwao wanaona TEC wangekuwa fair kama wangekaa kimya kabisa wasiongee chochote kuhusu maumivu wanayopitia wanainchi chini ya serikali hii dhalimu.

Yaani kwa hao mashekh wanaona busara eti kukaa kimya kwa lolote baya linalofanywa na serikali ya samia, hivyo wanataka samiya ateke,aue na kujifanyia uchaguzi mwenyewe bila wakereketwa kuongea chochote... yaan wote tumpigie makofi kwa kila jambo.

Hao mashekh na kukosa kwao shule wanataka taifa zima tuwe wajinga wajinga ambao tunaishi kwa kufuata mfumo wa kisultani, kwamba mtawala hakosei na ni marufuku kumkosoa.
 
TEC hawana uadilifu wanazungumzia maandamano kama yalikuwa ya Amani wakati yalikuwa na malengo ovu mengi pamoja na kufanyika uhuni wakutisha kutoka kwa Waandamanaji.

TEC makosa ya Waandamanaji wanayapuuza.

Masheik wanatumia busara huwezi kwenye moto unachochea Kuni moto uwake madhara yake ni makubwa mno.

Polisi wametumia nguvu kubwa halina ubishi na serikali imesema inafanya uchunguzi hapo haina haja ya kuchochea moto tena wakati hata taarifa Yao ya uchunguzi bado haijatoka
20251124_190706.jpg
 
Siyo baadhi, wote wanaunga mkono serikali kwasababu ndiyo inayowalipa ujira wao.

Anyekulisha ndiye bosi wako.

TEC wao wanasema kilichopo na kweli, na wanaiambia ccm.

Hawa masheikh wao wanajibu TEC kwa niaba ya ccm ya samuya.

Na wote mnafahamu mwenye mbwa akiwepo mbwa hubweka sana.
Umesomeka mkuu
 
TEC hawana uadilifu wanazungumzia maandamano kama yalikuwa ya Amani wakati yalikuwa na malengo ovu mengi pamoja na kufanyika uhuni wakutisha kutoka kwa Waandamanaji.

TEC makosa ya Waandamanaji wanayapuuza.

Masheik wanatumia busara huwezi kwenye moto unachochea Kuni moto uwake madhara yake ni makubwa mno.

Polisi wametumia nguvu kubwa halina ubishi na serikali imesema inafanya uchunguzi hapo haina haja ya kuchochea moto tena wakati hata taarifa Yao ya uchunguzi bado haijatoka
Hao Mashehe wanashindwa nini kutumia busara kuzungumzia utekaji, uuaji na kuulizia ilipo miili ya vijana isiyoonekana?
 
Masheikh wanatumia busara 😂😂😂 ni wale wa kukata vichwa au? Udini hautawafikisha popote acheni upumbavu, mnayemtetea ni muuaji na mwizi wa kura kaua hata waislam pia
 
Hao Mashehe wanashindwa nini kutumia busara kuzungumzia utekaji, uuaji na kuulizia ilipo miili ya vijana isiyoonekana?
Ni chawa wale wanarudia maneno ya wanaowalipa. Nikionacho hapa ni uwezo mdogo wa kuelewa na udini uliojiicha kwenye kujifanya wazalendo. Kemeeni maovu ya wakubwa kula peke yao. Kama unaishi Dar es salaam na kuona wakubwa walivyojipa ving'ora huku wakiacha barabara zimejaa misiongamano, usingepokea hiyo fedha na upumbavu wa kidini. Samia hajawa rais kwa sababu ya dini yake acheni upumbavu na uchumia tumbo. Mnafanya waislam waonekane hovyo kiasi cha kuwaona kama si mashehe bali mashehetani.
 
Hawa ni wahuni sana kuna mtu alisema atakinukisha yupo Ukonga sasa ila kuna Raia mmoja yeye alisema atakata watu vichwa yupo tu anataka kuounguziwa na kodi za Tende
Inasikitisha kwa kweli.
 
Back
Top Bottom