Kwanini baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu wanapinga matamko ya TEC na kuunga mkono Serikali?

Wale si waisilamu bali CCM iliojivika uislamu. Waisilamu tupo nao mitaani, siyo wa namna hiyo.
 
We pashkuna wa buza
 
Ndio , wanafeli kabisa .

Sio WaPalestina hiyo inajumlisha ISIS, Alshabab na Alqaeda
We mama umekosa mume wa kukutunza au.
Unajua Palestine wewe au unapayuka tu ka muimba mchriiku.
Usioyajua pita wima.
Unapoongelea Palestine unaongelea wanajeshi wanaopigana na makafiri wa mataifa yenye silaha kali toka mwaka 78.
Kuku km wewe ukiskia tu jina Al shabab mavi yanagonga chupi.
Hao sio askari wa tegeta ua ukerewe
Those are true patriot. They live and die for their land.
Keep ur stinking mouth shut nicompoop
 
Mimi ni Chief General mbobezi wa vita.

Sikatai kuwa kwamba hawana sababu ya kupigana na kupigana sio haki yao bali concern yangu ni kwamba unapiganaje kizembe kama reckless bull ? halafu matokeo yake wewe ndio unaumia zaidi na hali inakuwa mbaya kuliko awali.

Vita yeyote ni kujiandaa kikamilifu , kumsoma mpinzani , kujifunza kutokana na makosa yaliyopita Kisha kuja na mikakati kabambe na sio kwenda kichwa mchunga kama Hamas wanavyofanya .

Misri alichakazwa vibaya na Mayahudi kwenye six days war . Kasome ilikuwaje mpaka wakaibuka imara kwenye October war / Yom kippur war ambayo Mayahudi walitoka kamasi hawakuamini macho yao na Dunia nzima walishangaa jinsi Mayahudi walivyochakazwa mpaka Misri baadae ikarudisha Sinai Peninsula .

Twende kwenye current war kwa nini Hamas kama vidume wasipigane mwanzo mwisho mpaka wamekuja mezani na Myahudi ambaye kashawauwa viongozi wao wengi , raia wengi na kuharibu Gaza yote halafu matokeo yake wanaingia kwenye ceasefire ya mchongo , wanarudisha mateka bila faida yeyeto huu si uwemdawazimu ?
 
Ni kweli. Kwa machawa na machoko mie ni pashkuna. Kwa wenye akili mie ni mwalimu.
Teh teh teh
Mimi sijakataa kuwa wewe mwalimu. Hata mfunza kupika mapuya ni mwalimu vile vile.
TEC ni Wauwaji na soon watafikishwa kizimbani.
Kisha keko. Sasa huko tuone km watavaa zile skirt ndefu
 
Teh teh teh
Mimi sijakataa kuwa wewe mwalimu. Hata mfunza kupika mapuya ni mwalimu vile vile.
TEC ni Wauwaji na soon watafikishwa kizimbani.
Kisha keko. Sasa huko tuone km watavaa zile skirt ndefu
Ni kweli. Kwa machawa na vichaa, TEC watawekwa korokoroni. Na hili ndilo somo ninalowafundisha kuwa wanaota ndoto za mchana. Wanasumbuliwa na majinamizi ya mashehetani na mumiani wao wamtetea anayenuka, mchafu na aliyejaa chawa na funza. Wanipata?
 
Ni kwa sababu ni machawa na mafunza wa kunuka
 
Ni kweli. Kwa machawa na vichaa, TEC watawekwa korokoroni. Na hili ndilo somo ninalowafundisha kuwa wanaota ndoto za mchana. Wanasumbuliwa na majinamizi ya mashehetani na mumiani wao wamtetea anayenuka, mchafu na aliyejaa chawa na funza. Wanipata?
Sikujua kama wewe ni mdada wa kenya
Hili jukwaa la watanzania.
Kaa mbali
 
Sikujua kama wewe ni mdada wa kenya
Hili jukwaa la watanzania.
Kaa mbali
Ni kweli. Hata mimi sikujua wewe ni chokoo wa Tz! Kkk. Kumbe kwenu father ni mwanamke!!! Kwa taarifa yako mie ni Mtanzania kuliko wewe na ukoo wenu. Sitoki mipakani bali katikati ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…