Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
ccm ni mijiziWana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.
Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?
Lakini hayuko tayari kufaniksha hiliKitu muhimu sana alichonacho Mama Samia ni a good political will ya Katiba mpya.
P
Mwendazake alikuwa muuaji, na maisha hayana spare hivyo wakati mwingine watuwana kaa kimya na kumuomba Mungu amchukue.Mbona kipindi cha muenda zake wote walika kimya kwanini wanataka kumuonea Mama, hata miaka miwili bado
Kwan kamanda uchwara mbowe na chawa wake wamefikia wapi maana Mara ya mwisho kamanda uchwara mbowe nilimuona kwenye magazeti akijichekesha na raisi ikulu baada ya kutoka mahabusu keko sasa mpaka Leo naona kimya wewe ndie umenishitua kumbe kuna madai ya katiba mpya
Mama anakwenda kutuletea Katiba mpya!.Lakini hayuko tayari kufaniksha hili
Ukiona mpo machimbo halafu jamaa anakataza usisogee ktk eneo lake juwa panautamu.Asante mi naondoka.Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.
Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?
Mkuu suala la katiba kwa ccm ni ndoto, ila wacha watu waendelee kuota katiba mama anailetaMama anakwenda kutuletea Katiba mpya!.
P
Baki na ubwege wako kama huna hoja bora unyamazeKwan kamanda uchwara mbowe na chawa wake wamefikia wapi maana Mara ya mwisho kamanda uchwara mbowe nilimuona kwenye magazeti akijichekesha na raisi ikulu baada ya kutoka mahabusu keko sasa mpaka Leo naona kimya wewe ndie umenishitua kumbe kuna madai ya katiba mpya
Wahi mirembeTanzania Ni MALI ya KILA mtu.
Kwanini Wanachama na MATEKA wa Mbowe wanaamini KILA wanachotaka wao na KUKIHITAJI wanaokipinga HAWAFAI na HIVYO hawataki KUPINGA MAWAZO YAO?
Kama ukimsikiliza vizuri ile siku alyopokea ripoti ya TCD alisema ‘wasimletee asiyoyapenda’Dada Bite, Beatrice Kamugisha , kwanza naomba nikusahihishe, hakuna popote rais Samia amesema katiba mpya isuburi baada ya 2025. Alichosema ni kwa sasa tumpe muda ajenge kwanza nchi.
Pili mimi ni mwana CCM na tuko wana CCM kibao tunaounga katiba mpya.
Kitu tusichokubali ni kumshinikiza Mama Samia kuwa katiba mpya lazima sasa!.
Kama hoja ya Katiba mpya ilikuwepo kwenye ilani ya uchaguzi ya Magufuli, na akasema katiba sii kipaumbele chake, akaitosa na hakushinikizwa, kwa sasa katiba mpya haipo kwenye ilani ya Samia, kumshinikiza Mama Samia kuwa katiba mpya lazima sasa ni kumuonea!.
Tusimuonee Mama yetu!.
P
Niamini mimi, Mama anaileta katiba ila sio sasa, post 2025.Mkuu suala la katiba kwa ccm ni ndoto, ila wacha watu waendelee kuota katiba mama anaileta
Hayo ya 2025, imebidi awape moyo maana angesema ndani ya huu muula wake angejichimbia shimo ambalo hawezi toka... yote 9 ila lakumi ni kwamba ccm na katiba ni ardhi na mbingu haviwezi kukutana tatabaki kuskia miaka inatajwa ila hakuna kinachotendekaNiamini mimi, Mama anaileta katiba ila sio sasa, post 2025.
Hata JPM, Mungu asingemchukua, kwenda kumpangia majukumu makubwa zaidi kule mbinguni, alikuwa anakwenda kutuachia katiba mpya. Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!.
P
Yaani mbona unajikanyaga mzee. Kwamba Samia ni Rais wa 6 ila anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli. Hapa maana yako tuko awamu ya 5 (tunamalizia). Halafu tena unakuja kusema Rais akifa, awamu yake inakatizwa hapo na tunaanza awamu nyingine, yaani awamu ya 5 ilikatizwa na ikaanzia hapo awamu ya 6.Samia ni rais wa 6, ila anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli, rais akifa, awamu yake inakuwa imekatiziwa hapo na awamu mpya ya 6 inaanzia hapo Kwa kumalizia awamu ya 5.
P
A good will without action, will always remain a will.Kitu muhimu sana alichonacho Mama Samia ni a good political will ya Katiba mpya.
P